CECAFA Under 17: Burundi Imepangwa Kwenye Kundi A

Michuano hiyo ya Cecafa ya wasio zidisha umri wa miaka 17 itaendeshwa kwenye Viwanja vi tatu (3), Urukundo uwanja uliopo mkoani (Ngozi), Umuco stadium uwaja uliopo (Muyinga), Gitega stadium uwanja wa mkoa wa (Gitege).

Michuano ya timu za taifa kutoka ukanda wa Afrika mashariki kwa wale wavijana wasio zidisha umbri wa miaka Kumi na saba (17), tayari makundi ma wili, yani kundi A na B ya Timu inne inne yamesha fahamika.

Taïfa la Burundi ndilo litakalo pokea michuano hiyo hiyi April Tarehe 14, 2018 ambapo vijana wa Intamba mu Rugamba wa mepangwa kwenye kundi A lenye timu Inne inne wakiwa pamoja na:

Kenya
Somalia
Ethiopia

Kundi B ni lenye timu kama:

Uganda
Tanzania
Sudan
Zanzibar

Michuano hiyo ya Cecafa ya wasio zidisha umri wa miaka 17 itaendeshwa kwenye Viwanja vi tatu (3), Urukundo uwanja uliopo mkoani (Ngozi), Umuco stadium uwaja uliopo (Muyinga), Gitega stadium uwanja wa mkoa wa (Gitege).

Ratiba ya michuano ya Cecafa Under 17 imepangwa kuchezwa hivi ifuatavyo.

Tarehe 14 April 2018

13h00 Somalia vs Ethiopia (Ngozi, Urukundo).

15h30 Burundi vs Kenya (Muyinga, Umuco).

Tarehe 15 April 2028.

13h30 Sudan vs Zanzibar (Gitega Stadium).

15h30 Uganda vs Tanzania (Umuco, Muyinga).

Wiki ya 2 ya michuano hiyo itakua

Tarehe 17 April 2018.

15h30 Burundi vs Somalia (Ngozi).

15h30 Ethiopia vs Kenya (Gitega).

Tarehe 18 April 2018

15h30 Sudan vs Uganda (Umuco).

15h30 Tanzania vs Zanzibar (Urukundo).

Wiki ya tatu na yamwisho ya michuano hiyo ya Cecafa itakua kama hivi ifuatavyo.

Tarehe 20 April 2018.

15h30 Kenya vs Somalia (Umuco).

15h30 Burundi vs Ethiopia (Gitega).

Tarehe 22 April 2018

15h30 Uganda vs Zanzibar.(Urukundo).

15h30 Tanzania vs Sudan (Umuco).

Ikumbukwe tu kwamba hiyi ni mara ya pili kwa taifa la Burundi kuanda michuano kama hiyo, mara ya kwanza ilikua 2007 ambapo mwaka huyo Intamba Mu Rugamba ilitwa kombe la Cecafa la wavijana wa wasio zidisha umbri wa miaka 17 wakiishinda Uganda bao (2-0), yalio fungwa na D’amour pamoja na NGAMA Emmanuel.

Fahamuni kua uwanja utakao chezewa mchezo wa mwisho wa fainali ni Gitega stadium, uwanja wa mkoa wa Gitega, kilomita 102 na mjii Bujumbura.

Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

0 Comments

No comments!

There are no comments yet, but you can be first to comment this article.

Leave reply

Only registered users can comment.