#CECAFAU17.Karume boys wamefurushwa mashindanoni, Ethiopia wachezaji wake wa 3 kufukuzwa.

 Tume ya maandalizi ya michuano ya cecafa chini ya umbri wa miaka kumi na saba hiyi idjumapili imechukua uwamuzi wakuifurusha mashindanoni timu za taifa ile ya Zanzibar (Karume boys) na ile ya  ya taifa la Ethiopia.

                           Vijana wa Karume boys, Zanzibar wakiwa mazowezini.

 

Michuano ya Cecafa kwa wale vijana wa timu zataifa kutoka ukanda wa afrika mashariki wasio zidisha umbrwi wa miaka kumi na saba ambayo yako yanaendelea inchini Burundi aambapo jana yalikua katika siku yake ya pili ambapo mchezo mmoja kwa ile michezo mitatu iliokua imetarajiwa kucheza jana wa Zanzibar na Sudan ndio ambao haukuchezwa jana kutokana na sababu za miaka kwa wachezaji, Jambo hili lilipelekea haraka sana kamati ya uandaachi michezo ya Cecafa kutathimini hali ya mambo na kuaamua kuchukua hatua nzito za kisheria kwa timu ya taifa ya Zanzibar, Karume boys ya kufukuzwa mashindanoni, kusimamishwa mwaka mmoja, kupigwa faini ya dola elfu kumi na tano zakimarekani (15000$) na kulipa garama yoze ambazo zimekua tayari zimesha tumiwa na Cecafa, kutokana na sabubu zakua Zanzibar imewasilisha wachezaji wengi ambao umbri wao unazidi miaka kumi na saba baada ya uchunguzi ulio fanywa na kamati ya kuchunguza umbri kwenye shirikisho hilo la soka ukanda wa afrika mashariki cecafa.

Ethiopia nao adhabu hizo hazikuwaacha salama maana na wao wamepokonywa kwanza ushindi walio kua wameupata dhidi za Somalia bao tatu moja (3-1), na wachezaji wake wa tatu kusimamishwa.

Licha ya hayo adhabu hizo zilizo tolewa na shirikisho la mpira wa miguu ukanda wa afrika mashariki Cecafa zimeivuruga kalenda ya michuano hiyo maana kwasasa badala ya timu za taifa nane zilizo kua zimeitikia mashindano hayo zime baki timu za taifa sita peke Burundi wenyeji, Tanzania, Uganda, Somalia, Kenya, Ethiopia na Sudan.

Nayo kalenda imebadilika hivi ifuatavyo umchezo ambao ungechezwa kule mkoani muyinga kati ya Tanzania na Sudan tarehe 22 April umehamishiwa mkoani Gitega tarehe hiyo hiyo na huku saa za kuanzia michuano zikatolewa saa tisa na nusu(15h30) kupelekwa saa saa tis kamili (15h00

About Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

Check Also

Watu saba wafariki  kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

#VOA. | Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Haiti siku ya Jumapili imesema takriban watu saba wamefariki dunia kwa ugonjwa kipindupindu katika kurudi …

RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

#PoliticoCD. | RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

Dans un rapport adress au Conseil de Scurit de lONU, la Monusco note une nette …