Hussein Wello ameamua kuwaaga Olmpic Star kwa mfumo kama huyu hapa wakutia huruma.

Kocha Nahimana Hussaein Wello alie ifunza timu ya Olympic Star kwa miaka 6 ameamua kuachana rasmi na timu ya Olympic Star

Kocha Nahimana Hussaein Wello alie ifunza timu ya Olympic Star kwa miaka 6 ameamua kuachana rasmi na timu ya Olympic Star na huku akiwatakia mafanikio ya hapo baadae mema kwenye ujumbe alio utumia gazeti hili Hussein Welo alianza na kukumbusha mambo mengi kibao alio fanikiwa kuyafana akiwa na timu hiyo pia aliwashukuru viongozi pamoja na mashabiki wa Olympic Star kwa moyo wa mapenzi walio muonesha na huku akithibitisha kua simu za vilabu zinazo msaka ni nyingi sana ila aja chukua uamuzi rasmi huyu apa ujumbe wake Hussein Wello

« taarifa kutoka kwangu mimi kocha wa Olympic Star ya mkoani muyinga nashukuru mwenyezi mungu kumaliza ligi msimu 2017-2018, alhamdulilah baada ya kudumu kiasi cha miaka sita na timu hiyo tukitokea daraja la pili nakupanda daraja la kwanza yani (Primus League) hadi sasa timu ipo daraja la kwanza katika miaka yote palikuwa changamoto nyingi lakini mungu aliweka wepesi kila penye palikuwa ugumu hadi kufikia hiyi leo katika miaka yote hiyo ambayo nimefanya na timu ya Olympic Star nashukuru mungu nimeweza kuwakilisha nchi katika kombe la confederation yani kombe la (CAF) michuano aikuwa rahisi kwetu mana vijana wangu wengi walikuwa wageni katika michuano hiyo lakini nasema nawakubali kama wapambanaji ndipo walianza kupambana na mechi ya kwanza na timu kutoka nchini Burukina faso inaitwa Etoile Filante mechi tulitoka bila bila nyumbani,  kwenda kwao tuliwashinda moja bila lilofungwa na kijana Slim Saidi, nakufuzu raundi ya pili tulikuta na timu kutoka sudan inaitwa Alhilal Obeid mechi ya awali tulitoka bila bila nyumbani tulipoenda kwa mechi ya marudio ndiyo tumelitolewa kwakufungwa sita bila ndiyo kurudi nyumbani nakuendelea na ligi nakumaliza nafasi ya tano nawashukuru sana waliye nisapoti nawale ambao awakunisapoti mana matatizo nimiongoni mwa maisha naakuna ambaye anaweza kupendwa nawote ata mitume walitumwa wajekutulingania ila walipingwa ndiyo mitume wa mungu napenda niwajulishe kwamba vyombo vya habari vimetangaza habari nyingi bila kumuuliza muusika mwenyewe lakini siwalaumu mana nanyiye mliambiwa hivyo nasema hivi mimi nipo nyumbani kwangu na familia yangu nimetulia nikweli simu za vilabu ninyingi zimenipigia nawengine nimeongea nawo lakini sijawa na maamuzi hadi sasa mana nawanangu wanapenda nikaye karibu yaho.nawashukuru sana viongozi wa Olympic Star na washabiki wao kwa mapenzi na ukarimu wao walionionesha miaka yote hiyo nilieshi nawo nasema najuwa kama mnamapenzi makubwa sana namimi lakini nawaombeni samahani mungu atakupeni mwingine zaidi yangu mumpenda kama mlivyo nipenda mimi na mungu atakusaidieni ndio ujumbe wangu huyo kwenu nimimi/Hussein mfaume Ramadhan.(wello) ».  Ujumbe wake huyo beki wa zamani wa Inter Star Hussein wello ambae inasemekana kua Musongati FC ya mkoa wa Gitega ina myemelea.

 

Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

0 Comments

No comments!

There are no comments yet, but you can be first to comment this article.

Leave reply

Only registered users can comment.