Rayon Sports: Ivan Minnaert na Etienne Karekezi wote hali kazalika, wanashutumiwa kutojua jisi ya kuishi na wachezaji.

Kocha mbeleji wa sasa wa timu pendwa inchini Rwanda, Rayon Sports, anashutumiwa kuto kujua jisi ya kuishi na wachezaji wa timu hiyo hata pia kocha alie mtangulia Etienne Karekezi nae pia anashutumia kua ni hali kadhalika na huyo mzungu. Ni madayi yake kiungo wa kati wa timu ya taifa intamba mu rugamba ya Burundi na timu ya Rayon Sports ya kule Rwanda, Shassir Nahimana aliyafahamisha hayo hiyi idjuma mosi  baada yakuifungia timu yake ya taifa bao la pili kwa njia ya penalty kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya wadogo zao intamba mu rugamba U-20.

Shassir Nahimana amewashutumu makocha hao wa wili kua ni sababu ya yeye kiwango chake kushuka maana kila mmoja katika utawala wake ana mtia benchi, Kiuongo huyo wa kati wa zamani wa Vital’o FC amekwenda mbali zaidi na kutaja kua licha ya hayo makocha hao, ujuzi wao ni mdogo wa kuifunza Rayon Sports. Nahimana amethibitisha pia kua hata Rayon Sports wa muongeze mkataba wa kusalia pale  yeye hawezi kubaki kwenye timu hiyo, licha ya hayo Shassir hadi sasa ajajuwa wapi atakapo elekea baada ya msimo kumalizika na kuhusikana na uvumi unao mpeleka kwenye timu ya Simba SC kule Tanzania amekanusha kua sio ukweli.

Sikiliza mahojiano Interview tulio zumgumza na Shassir Nahimaana hapo chini.

Ikumbukwe tu kwamba Shassir Nahimana mechi yake ya mwisho kuyichezea Rayon Sports ilikua ile ilio wakutanisha na Mamelodie Sundows ya afrika kusini kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani afrika.

About Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

Check Also

Watu saba wafariki  kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

#VOA. | Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Haiti siku ya Jumapili imesema takriban watu saba wamefariki dunia kwa ugonjwa kipindupindu katika kurudi …

RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

#PoliticoCD. | RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

Dans un rapport adress au Conseil de Scurit de lONU, la Monusco note une nette …