Matokeo ya wiki ya kwanza ya michuano ya Primus Ligue Burundi msimo 2018-2019.

Messager Ngozi ambao ni mabwingwi wa tetezi wameanza vizuri, huku Vital'0 FC wakianza mashindano vibaya.

Michuano ya Ligi la taifa inchini Burundi maarufu Primus Ligue limeanza kutimua vumbi rasmi katika msimo wake mpya wa  mwaka 2018-2019 tangu hiyi idjuma. Wiki hiyi ya kwanza imetamatika hiyi idjumapili na haya ni matokeo ya mechi 8 zilizo pigwa kwa ujumbla.

                                                                Kikosi cha timu ya Musongati FC

Idjuma tariki 17 Ogasti 2018.

Katika uwanja Ingoma: Flambeau Du Centre 0-1 Messager Bujumbura.

Idjumamosi , tariki 18 Ogasti 2018:

Katika uwanja Ingoma mkoani  Gitega: Aigle Noir 2-0 Vital’0 FC.

Katika uwanja Urunani mkoani Cibitoke: Bumamuru FC 2-0 Rukinzo FC.

Katika uwanja Urunani mkoani Cibitoke: Atheletico Olympic 0-0 Ngozi City.

Katika uwanja Urukundo mkoani : Kayanza United 1-1 Les Lierres FC.

 Idjumapili 19 Ogasti 2018.

Katika uwanja wa Ingoma mkoani Gitega: Musongati FC 4-1 Olympic Star.

Katika uwanja Urunani mkoani Cibitoke: Bujumbura City 1-1 Lydia Ludic S 4 Africa.

Katika uwanja wa Urukundo mkoani Ngozi: Messager Ngozi 2-0 Flambeau De L’est.

Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

0 Comments

No comments!

There are no comments yet, but you can be first to comment this article.

Leave reply

Only registered users can comment.