Ratiba ya mechi katika wiki ya pili ya Primus Ligue Burundi.

Vital'0 FC wanarudi mkoani Gitega, Musongati FC kusafiri hadi Rumonge, Messager Ngozi FC wao wakijielekeza mkoani Cibitoke yote hayo ni katika wiki ya pili ya Primus Ligue Burundi.

Ligi la taifa inchini Burundi maarufu “Primus Ligue” litaendelea djumatano hiyi katika wiki yake ya pili ambapo mechi 8 ndizo ambazo zimeandaliwa kuchezwa kwenye viwanja vi tano vya hapa inchni navyo vikiwa ni Ingoma (Gitega), Urukundo (Ngozi), Ivyizigiro (Rumonge), Urunani (Cibitoke)  na Umuco (Muyinga).

Ratika kamili ya mechi, sehemu, na saa ambapo michezo hiyo imepangwa kuchezekea ni hivi ufuatavyo:

13H00 Ingoma:  Aigle Noir FC VS Flambeau Du Centre

15H00 Ingoma:  Flambeau De L’est VS Vital’0 FC

13H00 Urunani: Rukinzo FC VS Athletico Olympic

15H00 Urunani: Les Lierres FC VS Messager Ngozi FC

13H00 Ivyizigiro: Messager Bujumbura VS Musongati FC

15H00 Ivyizigiro: Lydia Ludic Sport 4 Africa VS Kayanza United

15H00 Umuco: Olympic Star VS Bumamuru FC

15H00 Urukundo: Ngozi City VS Bujumbura City.

Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

0 Comments

No comments!

There are no comments yet, but you can be first to comment this article.

Leave reply

Only registered users can comment.