Aigle Noir C.S: Joslin Bipfubusa amekitangaza kikose cha wachezaji 11 watakao shuka dimbani dhidi ya Flambeau Du Centre.

Joslin Bipfubusa mwalimu wa Aigle Noir amewatangza 11 watakao tangulia uwanjani dhidi ya Flambeau Du Centre

Saa Moja peke ndio imesalia ili Aigle Noir ipambane na timu yake ya  Flambeau Du Centre, katika uwanja wa Ingoma kwenye majira ya saa saba mchana, Joslin Bipfubusa ambae ni mwalimu watimu hiyo amesha kitangaza kikosi cha wachezaji 11 ambao watako anza uwanjani dhidi ya Flambeau Du Centre kupitia ukurasa wa Page Facebook ya klabu hiyo ya kule mkoani Makamba.

11 watakao tangulia uwanjani;

1.NDUWIMANA Ibrahim
2.HAKIZIMANA Héritier
3.SELEMANI Mustafa (C)
4.BIGIRIMANA Séraphin
5.BIZIMANA Kelvin
6.NAHIMANA Eloi
7.NDAYISHIMIYE Yussuf Nyange
8.NSHIMIRIMANA Jospin
9.MURYANGO Mabano
10.NDAYEGAMIYE Ami Twite
11.KANAKIMANA Bienvenu

Benchi:

1.NDIZEYE Aime Fales
2.BAREKENSABE Hassan
3.HITIMANA Hamza
4.BUKURU Enock
5.NTWARI Eddy Patrick
6.IRAKOZE Pieclaire
7.NZOJIBWAMI John Franck

 

Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

0 Comments

No comments!

There are no comments yet, but you can be first to comment this article.

Leave reply

Only registered users can comment.