Matokeo kamili ya wiki ya pili ya Primus Ligue Burundi.

Aigle Noir waliitambia Flambeau Du Centre, Vital'0 FC hali imedhidi kuwa mbaya mechi 2 mfululizo wanafungwa.

Aigle Noir yaendeleza wimbi la ushinde mzito dhidi ya Flambeau Du Centre 5-2, Vital’0 FC hali yaendeleaa kuwa ngumu mara pili mfululizo wanapoteza kwanza dhidi ya Aigle Noir 2-0 , leo dhidi ya Flammbeau de L’est 1-0, huku Musongati FC wakifuta rikodi yao mbaya ya kuto fungia katika uwanja wa Ivyizigiro mara hiyi waliifunga kwatabu Messager Bujumbura 2-1.

Haya hapa matokeo kamili ya wiki hiyi ya pili:

13H00 Ingoma:  Aigle Noir FC 5-2 Flambeau Du Centre

15H00 Ingoma:  Flambeau De L’est 1-0 Vital’0 FC

13H00 Urunani: Rukinzo FC 1-0 Athletico Olympic

15H00 Urunani: Les Lierres FC 1-1 Messager Ngozi FC

13H00 Ivyizigiro: Messager Bujumbura 1-2 Musongati FC

15H00 Ivyizigiro: Lydia Ludic Sport 4 Africa 0-0 Kayanza United

15H00 Umuco: Olympic Star 2-0 Bumamuru FC

15H00 Urukundo: Ngozi City 1-0 Bujumbura City.

Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

0 Comments

No comments!

There are no comments yet, but you can be first to comment this article.

Leave reply

Only registered users can comment.