Vital’O FC/ Jean Gilbert Kanyenkore, “Musongati FC wanakatatizo kakuto kujua kufunga”

Katika mchezo wa wiki ya 14 ya ligi kuu inchini Burundi, maarufu Primus Ligue,  timu ya Vital’o FC ama Mzabarao wamefanikiwa kuishinda kwa tabu timu ya Musongati FC kwa bao moja kwa bila (1-0). Bao ambalo limefungwa kwenye dakika ya 93′ na mshumbuliaji wa timu hiyo Sudi Abdallah. Ilikua  katika mchezo ambao umepigwa hiyi idjumamosi jioni, katika uwanja wa Mwana Mfalme Louis Rwagasore mjiji Bujumbura.

Licha ya ushinde huyo kocha wa timu ya Vital’o FC, Jean Gilbert Kanyenkore maarufu “Yaoundé” anasema kua mchezo haukua mwepesi maana Musongati FC kutoka mkoani Gitega iliwazidi kumiliki mpira ila shida yao moja ni kuto kujua jisi ya kufunga pale wanapo kua na mchezo mkononi.

Mechi hayikua rahisi hata kidogo na inaeleweka kua nafasi walionayo Musongati FC wanaistahiki, ilionekana wazi uwanjani kua ni timu nzuri, ila wanakatatizo kakuto jua kufunga wakati wanapo kua wana umiliki mchezo. Nidhahiri shahiri kua wametushinda kutembeza mpira lakini tunafurahi kwakuupata ushindi wa leo.

Kocha Yaoundé ameendelea nakufahamisha kua walicho kikosa Musongti FC ni umaliziaji wa kazi ambayo walikua tayari kuifanya.

Walikosa umaliziaji, waliumiliki mpira kwa asilimia za kutosha ila shida yao ni umaliziaji. Najambo hilo wanapashwa kulikosoa. Katikati walikua wazuri sana pia nyuma walizuwiya vizuri shida ni umaliziaji.

Fahamuni kua Vital’o FC wametimiza mechi 5 mfululizo wakipata ushindi wakati timu hiyo ilikua imeanza msimo vibaya.

About Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

Check Also

Watu saba wafariki  kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

#VOA. | Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Haiti siku ya Jumapili imesema takriban watu saba wamefariki dunia kwa ugonjwa kipindupindu katika kurudi …

RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

#PoliticoCD. | RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

Dans un rapport adress au Conseil de Scurit de lONU, la Monusco note une nette …