#Burundi #CANU23: Kikosi Cha Wachezaji 11 Watakao Tangulia Uwanjani Dhidi Ya Tanzania U-23.

Joslin Bipfubusa amekitangaza kikosi cha wachezaji 11 watakao tangulia uwanjani dhidi ya Tanzania.

Kocha watimu ya taifa ya Burundi chini ya umbri wa myaka 23, Joslin Bipfubusa amekitangaza kikosi cha wachezaji 11 watakao tangulia uwanjani dhidi ya Tanzania chini ya umbri huyu, kwenye mchezo ambao unapigwa idjumatano hiyi alasiri  katika uwanja wa mwanja mfalme Louis Rwagasore mjini Bujumbura kwalengo la kuisaka tiketi yakombe la mataifa barani afrika kwa umbri huyu yatakayo pigwa kule Misri 2019.

Picha ya FFB

11 watakao tangulia uwanjani:

MUTOMBORA Fabien 1

SELEMANI Mustafa (C) 15

MURYANGO Mussa 4

BIGIRIMANA Ramadhan 3

NDIKUMANA Trésor 20

NDAYISHIMIYE Youssouf 10

MURYANGO Mabano Shabani 8

MUSORE Aaron 12

KANAKIMANA Bienvenue 19

RAMAZANI Pascal 13

BIMENYIMANA Bon Fils Caleb 7

benchi:

NTIBAHEZWA Dieudonné 22

NSHIMIRIMANA Jospin 14

MAVUGO Cédric 9

NDORIYOBIJA Eric 18

NDAYE Chancel 2

NDIZEYE Sefu 11

MBIRIZI Eric 6

Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

0 Comments

No comments!

There are no comments yet, but you can be first to comment this article.

Leave reply

Only registered users can comment.