#Burundi #Football: Burundi itachuana dhidi ya Masri.

Timu ya taifa ya Burundi, Intamba Murugamba itachuana na timu ya taifa ya Misri (Pharaohs) katika mchezo wa kirafaiki unao tarajiwa kuchezwa june 03 2021 huko   mjini Cairo katika inchi ya Misri (Egypt). Hayo yalifahamishwa Reverien Ndikuriyo mwenye kiti wa shirika la mpira wa miguu inchini Burundi, FFB  kupitia ukurasa wake wa facebook.

Timu ya taifa ya Burundi, Intamba Murugamba katika mchezo wa mashindayo ya kufudhu AFCON dhidi ya Jamuhuri ya Afrika ya kati (2-2) katika uwanja wa Intwari mjini Bujumbura.

Intamba Murugaba (Burundi), itajipima nguvu na ma bingwa wa mara saba wa mashindano ya AFCON ambao pia wanashikilia na fasi ya 46 duniani katia ule msimamo unao tolewa kila  mwisho wa mwezi na shirika  la mpira wa miguu duniani FIFA, huku taifa la Burundi kwalo likiwa linashikilia na  fasi ya 142 katika msimao huyo wa FIFA.

Tuwakumbushe kwamba timu ya taifa ya Burundi, Intamba Murugamba, ilishiriki mashindayo ya kombe la mataifa barani afrika AFCON 2019 kwa mara ya kwanza yalio fanyika Misri, yakwamba mara hii haito shiriki michuano hiyo inayao tarajiwa huko inchini Cameroun mwaka kesho, sababu  ni kwamba imeshindwa kufudhu mwaka huu ambapo ilimaliza ikiwa na fasi ya tatu katika kundi E na alama 5, huku Maroc walimaliza wa kiwa na fasi ya kwanza na alama 14 kwenye kundi hilo,  Mauritania kwayo ili maliza ikiwa na fasi ya pili na alama 9, Jamuhuri ya Afrika ya kati ilimaliza ikiwa na fasi ya mwisho ya inne na alama 4.

About Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

Check Also

Watu saba wafariki  kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

#VOA. | Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Haiti siku ya Jumapili imesema takriban watu saba wamefariki dunia kwa ugonjwa kipindupindu katika kurudi …

RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

#PoliticoCD. | RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

Dans un rapport adress au Conseil de Scurit de lONU, la Monusco note une nette …