Primus League: Ratiba ya wiki ya 26 ya ligi kuu Burundi.

Ligi kuu inchini Burundi yaelekea kufikia tamati ambapo kunasalia mechi 5 kwa kila timu ili ligi lifikie tamati.  Hii ijuma na ijumamosi Primus League itakua imeingiya katika wiki yake ya 26 katika viwanja tofauti vya inchini humo. Nahii ndio ratiba ya michezo itakayo chezwa katika wiki hiyo.

Ijuma, April 16, 2021:

15h00 uwanja wa Intwari: Vital’O FC vs Messager Ngozi FC

15h00 uwanja wa Urunani: Les Eléphants FC vs Flambeau Du Centre.

15h00 uwanja wa Gatwaro: Kayanza United vs Musongati FC.

15h00 uwanja wa Umuco: Olympic Star vs Muzinga FC

15h00 uwanja wa Ingoma: Royal FC vs BS Dynamic.

Ijumamosi, April 17, 2021:

15h00: uwanja wa Urunani: Bumamuru FC vs Rukinzo FC

15h00 uwanja wa Pierre Nkurunziza Peace Park Complexe: Aigle Noir CS vs Inter Star

15h00 uwanja wa Intwari: Athletico Academy vs Bujumbura City.

Msimamo baada ya wiki ya 25 ambazo zimekwisha chezwa.

 1. Musongati FC alama 46 (goli 18)
 2. Messager Ngozi FC 46pts  (+13)
 3. Rukinzo FC 46pts (+12)
 4. Flambeau Du Centre 45pts (+15)
 5. Kayanza United 43pts (+6)
 6. Aigle Noir CS 40pts (+10)
 7. Vital’O FC 37pts (+1)
 8. Olympic Star 36pts (+5)
 9. Royal FC 34pts (+3)
 10. BS Dynamic 32pts (-5)
 11. Atletico Academy 31pts (-6)
 12. Buja City 30pts (-5)
 13. Inter Star 28pts (-7)
 14. Bumamuru FC 26pts (-13)
 15. Les Eléphants FC 24pts (-14)
 16. Muzinga FC 10pts (-30)

About Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

Check Also

Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

#VOA. | Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Haiti siku ya Jumapili imesema takriban watu saba wamefariki dunia kwa ugonjwa kipindupindu katika kurudi …

RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

#PoliticoCD. | RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

Dans un rapport adress au Conseil de Scurit de lONU, la Monusco note une nette …