Primus League: Flambeau Du Centre bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi. Inter Star yaelekea pabaya !

Timu ya  Flambeau Du Centre ambayo ilimaliza ikiwa na fasi ya kwanza katika wiki ya 26 ya michuano ya ligi kuu Burundi, bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi  baada ya kuishinda timu ya Vital’O FC bao (2-1) katika mchezo ulio chezwa hii ijumaa katika uwanja wa  Urumuri mkoani Ruyigi.

Inter Star yao inaelekea kushuka daraja la pili baada ya kushindwa na timu ya  Athletico Academy mabao  (3-2) katika uwanja wa Intwari mjini Bujumbura. Ikiwa kama timu hiyo ya weupe na weusi haito shinda mechi zake tatu zinazo salia, bila shaka itashuka daraja. Inter Star inasalia kuchuana na timu ya Rukinzo FC, Musongati FC pamoja na timu ya Vital’O FC.

Timu ya Flambeau Du Centre katika uwanja wa Gatwaro mkoani Kayanza.

Matokeo kamili ya michezo mi nane ilio chezwa katika wiki ya  27.

Ijumaa april 30 2021 :

Inter Star 2-3 Atletico Academy

Flambeau du Centre 2-1 Vitalo

Muzinga 1-4 Aigle Noir

Alhamisi april 29 2021:

Bumamuru FC 2-0 Olympic Star

Musongati FC 2-2 Les Eléphants FC

Messager Ngozi FC 1-1 Rukinzo FC

Buja City 1-1 Royal FC

BS Dynamic 0-1 Kayanza United

Msimamo wa wiki 27.

 1. Flambeau Du Centre 51pts (+18)
 2. Kayanza United 49pts (+8)
 3. Messager Ngozi FC 48pts (+13)
 4. Musongati FC 47pts (+17)
 5. Rukinzo FC 47pts (+10)
 6. Aigle Noir CS 46pts (+14)
 7. Olympic Star 39pts (+4)
 8. Royal FC 38pts (+4)
 9. Vital’O FC 38pts (-1)
 10. Buja City 34 (-4)
 11. 12. Atletico Academy 34pts (-8)
 12. BS Dynamic 32pts (-6)
 13. Bumamuru FC 32pts (-9)
 14. Inter Star 28pts (-9)
 15. Les Eléphants FC 25pts (-16)
 16. Muzinga FC 10pts (-35)

About Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

Check Also

Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

#VOA. | Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Haiti siku ya Jumapili imesema takriban watu saba wamefariki dunia kwa ugonjwa kipindupindu katika kurudi …

RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

#PoliticoCD. | RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

Dans un rapport adress au Conseil de Scurit de lONU, la Monusco note une nette …