Rwanda Premier League: Tshabalala mashine ya mabao huko Rwanda.

Mshambuliaji wa Burundi anaeichezea timu ya AS Kigali ya huko Rwanda, Hussein Shaban maarufu kama «Tshabalala » anaendelea kufanya vizuri katika ligi kuu ya Rwanda maarufu kama Rwanda Premier League. Tshabalala ameifungiya timu yake mabao yote mawili ambayo waliishinda  timu ya Etincelles FC mabao (2-1) katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa hiyi ijumaa.

Hussein Shaban Tshabalala

Kwasasa mshambuliaji huyo wa zamani wa timu ya Vital’O FC ya Burundi, ametimiza idadi ya mabao ma tano katika michezo mi tatu pekee ambayo amekwisha ichezea timu hiyo. Ndie mfungaji bora kwasasa wa ligi kuu inchini humo. Wapili wake ni mshambuliaji wa timu ya Espoir FC, mghana Sadiki Soule ambae amekwisha pachika mabao ma tatu.

Kakita kundi la tatu ama  (Group C)  AS Kigali inaongoza ikiwa nafasi ya kwanza na alama 9, Police FC inanafasi ya pili na alama 6, Musanze FC ina alama tatu na fasi ya tatu , Etincelles FC  inashikilia na afasi ya mwisho katika kundi hilo na alama sufuri.

Ikumbukwe tu kwamba ligi kuu huko Rwanda msimo huyu wa mwaka 2020-2021 inachezwa kwenye makundi 4 ya timu 4 kila kundi. 

About Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

Check Also

Watu saba wafariki  kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

#VOA. | Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Haiti siku ya Jumapili imesema takriban watu saba wamefariki dunia kwa ugonjwa kipindupindu katika kurudi …

RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

#PoliticoCD. | RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

Dans un rapport adress au Conseil de Scurit de lONU, la Monusco note une nette …