AFCON (W) 2022: Burundi dhidi ya Eritrea. Tanzania, Uganda, Rwanda, DR Congo, Nigeria … Droo kamili ya mchujo.

Katika droo ambayo imepigwa hii ijumatatu kule mjini Cairo, Ni kwamba timu ya taifa ya Burundi ya mpira wa miguu ya wasichana, itachuana na timu ya taifa ya  Eritrea ya wasichana katika mchezo wa kwanza wa kutafuta tiketi ya kufuzu kuelekea kule Moroc 2022 katika kombe la mataifa barani Afrika kwa upande wa wasichana. Timu zimapangwa kufatia ukanda, mechi mbili ya awali na ya marudio ndizo zitakazo chezwa kwa kila timu ili zipatikane timu 12 ambazo zitakazo shiriki katika mashindano hayo ya AFCON (W) kwa upande wa wasichana. Ikumbukwe kwamba hapo awali zilikua timu 8 pekee ambazo zilikua zikishiriki mashindano hayo. Katika droo nyingine ni kwamba, Tanzania itachuana dhidi ya Namibia. Rwanda itachuana dhidi ya Djibouti. Uganda dhidi ya Ethiopia. DR Congo itachuana dhidi ya Equatorial Guinea. Nigeria ambayo ni bingwa wa mara ya tatu mfululizo watachuana dhidi ya Ghana katika raundi ya kwanza.

Mechi za raundi ya kwanza.

M1 – Uganda v Ethiopia

M2 – Kenya v South Sudan

M3 – Eritrea v Burundi

M4 – Djibouti v Rwanda

M5 – Malawi v Zambia

M6 – Tanzania v Namibia

M7 – Zimbabwe v Eswatini

M8 – Angola v Botswana

M9 – Mozambique v South Africa

M10 – Algeria v Sudan

M11 – Egypt v Tunisia

M12 – Equatorial Guinea v DR Congo

M13 – Sao Tome and Principe v Togo

M14 – Congo v Gabon

M15 – Central African Republic v Cameroon  

M16 – Sierra Leone v Gambia

M17 – Liberia v Senegal

M18 – Mali v Guinea

M19 – Guinea Bissau v Mauritania

M20 – Burkina Faso v Benin

M21 – Nigeria v Ghana

M22 – Niger v Cote d’Ivoire

Mechi za raundi ya pili.

Mshindi M1 v Winner M2

Mshindi M3 v Winner M4

Msghindi M5 v Winner M6

Mshindi M7 v Winner M8

Mshindi M9 v Winner M10

Mshindi M11 v Winner M12

Mshindi M13 v Winner M14

Mshindi M15 v Winner M16

Mshindi M17 v Winner M18

Mshindi M19 v Winner M20

Mshindi M21 v Winner M22

Mshindi kati ya Burundi na Eritrea atakutana katika raundi ya pili na mshindi kati ya Rwanda na Djibouti.

Michuano hiyo ya kwanza ya kufuzu itaanza kuchezwa hapo, Juni 7-12 2021. Na kombe lenye litaanza kutimua vumbi rasmi kule Moroc julayi 2 hadi 23, 2022.

About Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

Check Also

Watu saba wafariki  kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

#VOA. | Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Haiti siku ya Jumapili imesema takriban watu saba wamefariki dunia kwa ugonjwa kipindupindu katika kurudi …

RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

#PoliticoCD. | RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

Dans un rapport adress au Conseil de Scurit de lONU, la Monusco note une nette …