Kombe la Rais : Vital’O FC na Flambeau Du Centre zimeweka mguu mmoja fainali.

Timu ya Vital’O FC na Flambeau Du Centre zimeweka mguu mmoja fainali ya kombe la Rais wa jamuhuri inchini Burundi baada ya kufanya vizuri katika mchezo wa awali na wa nusu fainali ya kombe hilo.

katika mchezo wa kwanza ulio chezwa hii ijumatano katika uwanja wa Intwari mjini Bujumbura, Vital’O FC walifanikiwa kuishinda timu hiyo mabao (2-1). Ijumapili majira ya alasiri, Vital’O FC itasafiri kueleka mkoani Cibitoke kuchuana na timu ya Bumamuru FC katika mchezo wa marudi. Flambeau Du Centre wao pia waliwashinda wapinzani wao wa daima Musongati FC, ushindi finyu wa bao (1-0). Na mchezo wa marudio ni kwamba Musongati FC ambao ni mabingwa wa tetezi wa kombe hilo,  wataipoke Flambeau Du Centre katika uwanja wa Ingoma majira ya alasiri.

Ikumbukwe kwamba mshindi wa kombe hilo ndie anae iwakilisha Burundi katika mashindano ya kombe la shirikisho Afrika (Confederation Cup).

About Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

Check Also

Watu saba wafariki  kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

#VOA. | Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Haiti siku ya Jumapili imesema takriban watu saba wamefariki dunia kwa ugonjwa kipindupindu katika kurudi …

RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

#PoliticoCD. | RDC : la Monusco note une amlioration de la situation des droits humains entre juin et septembre | Politico.cd

Dans un rapport adress au Conseil de Scurit de lONU, la Monusco note une nette …