Ismail (Nahodha) Kwizera

Ismail (Nahodha) KWIZERA ni mwandishi habari za Spoti, Uhusiano, na Burudani kwenye Journal Magara Times. Bwana KWIZERA pia ni mtangazaji wa vipindi vya Spoti kwenye Radio Magara Times FM. Wasiliana na Ismail kwenye: ismailk@magaratimes.com

Kombe la Rais : Vital’O FC na Flambeau Du Centre zimeweka mguu mmoja fainali.

Timu ya Vital’O FC na Flambeau Du Centre zimeweka mguu mmoja fainali ya kombe la Rais wa jamuhuri inchini Burundi baada ya kufanya vizuri katika mchezo wa awali na wa nusu fainali ya kombe hilo. katika mchezo wa kwanza ulio chezwa hii ijumatano katika uwanja wa Intwari mjini Bujumbura, Vital’O …

Read More »

AFCON (W) 2022: Burundi dhidi ya Eritrea. Tanzania, Uganda, Rwanda, DR Congo, Nigeria … Droo kamili ya mchujo.

Katika droo ambayo imepigwa hii ijumatatu kule mjini Cairo, Ni kwamba timu ya taifa ya Burundi ya mpira wa miguu ya wasichana, itachuana na timu ya taifa ya  Eritrea ya wasichana katika mchezo wa kwanza wa kutafuta tiketi ya kufuzu kuelekea kule Moroc 2022 katika kombe la mataifa barani Afrika …

Read More »

Rwanda Premier League: Tshabalala mashine ya mabao huko Rwanda.

Mshambuliaji wa Burundi anaeichezea timu ya AS Kigali ya huko Rwanda, Hussein Shaban maarufu kama «Tshabalala » anaendelea kufanya vizuri katika ligi kuu ya Rwanda maarufu kama Rwanda Premier League. Tshabalala ameifungiya timu yake mabao yote mawili ambayo waliishinda  timu ya Etincelles FC mabao (2-1) katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa …

Read More »

Basketball: Kern imenyakua kombe la playoffs kwa kuishinda Dynamo.

Timu ya mpira wa vikabu ya Kern ambayo ni bingwa wa ligi la shirika la mpira wa vikabu mjini Bujumbura ACBAB, imejiongeza kombe lingine la ACBAB Playoffs kwa kuishinda timu ya Dynamo BBC mara tatu kwa mara moja. Timu ya Kern ikisherekea ushindi. picha ya Akeza.Net Ushindi mara tatu katika …

Read More »

Rwanda Premier League: Ndarusanze Jean Claude « Lambalamba » ayisaidia Rutsiro FC kuyishinda Kiyovu Sports.

Mshambuliaji kutoka Burundi, Ndarusanze Jean Claude maarufu kama “Lambalamba” anamaliza kuyisaidia timu yake ya Rutsiro FC kupata alama tatu za mwanzo kwa kuishinda timu ya  Kiyovu Sports bao  (2-1) katika mchezo wa ligi kuu inchini Rwanda. Katika mabao hayo (2-1) ambayo wanamaliza kiyishinda timu ya Kiyovu Sports, mshambuliaji huyo wa …

Read More »

Primus League: Flambeau Du Centre bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi. Inter Star yaelekea pabaya !

Timu ya  Flambeau Du Centre ambayo ilimaliza ikiwa na fasi ya kwanza katika wiki ya 26 ya michuano ya ligi kuu Burundi, bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi  baada ya kuishinda timu ya Vital’O FC bao (2-1) katika mchezo ulio chezwa hii ijumaa katika uwanja wa  Urumuri mkoani Ruyigi. Inter …

Read More »

Ratiba ya robo fainali ya kombe la Rais Burundi.

Michuano ya kombe la Rais wa jamuhuri inchini Burundi, itaingia katika robo fainali hapo May 04 na 5 mwaka huu. Ambapo timu ya Vital’O FC bingwa mara mbili wa kombe hilo wataanza kuipokea timu ya Royal FC kutoka mkoa wa Muramvya. Bingwa mtetezi wa kombe hilo la Rais inchnini Burundi, …

Read More »

Europe: Habari zinazo wahusu Julian Nagelsemann, Keylor Navas na Eric Bailly.

Julian Nagelsemann ndie ambae atakae ifundisha timu ya Bayern Munich msimo ujao wa mwaka 2021-2022. Meneja huyo wa timu ya Leipzig ya Ujerumani amesaini mkata wa miaka mitano wa kuifundisha timu hiyo. Inasemekana kwamba Bayern Munich wameifidia timu ya Leipzig kitita cha milioni 25 za yuro ili kumpata kocha huyo …

Read More »

Ligue B : Les Crocos FC yaweka mguu mmoja ndani ya Primus League.

Katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kutafuta tiketi ya kushiriki ligi kuu msimo ujao, ulio chezwa hiyi ijumapili ya wiki ilio malizika katika uwanja wa Umuco mkoani Muyinga,  timu ya New Oil FC walipotezea nyumani kwa kuchapwa bao moja bila (0-1) dhidi ya timu ya Les Crocos FC kutoka …

Read More »

Primus League: Matokeo pamoja na msimamo ya wiki ya 26.

Matokeo kamili ya wiki ya 26 ya ligi kuu Burundi Ijumamosi april, 17.2021 Bumamuru FC 2-0 Rukinzo FC Aigle Noir CS 1-0 Inter Star Buja City 3-0 Atletico Academy. Ijumaa april, 16.2021 Kayanza United 1-0 Musongati FC Les Eléphants FC 1-3 Flambeau Du Centre Vital’O FC 1-1 Messager Ngozi FC …

Read More »

Ligue B: Timu ipi kati ya New Oil FC na Les Crocos FC itakayo zishindikiza timu za Top Junior na Flambeau de l’est ligi kuu ?

Timu ya  New Oil FC  kutokea mkoani Muyinga itachuana na timu ya Les Crocos FC kutokea mkoani Rumonge kwenye mchezo wa mchujo wakiisaka tiketi moja inayo saliya ya kushiriki ligi kuu Burundi maarufu kama Primus League msimo wa 2021-2022.  Mchezo huyo utachezwa hapo kesho ijumapili april 18/2021 majira ya alasiri …

Read More »

Primus League: Ratiba ya wiki ya 26 ya ligi kuu Burundi.

Ligi kuu inchini Burundi yaelekea kufikia tamati ambapo kunasalia mechi 5 kwa kila timu ili ligi lifikie tamati.  Hii ijuma na ijumamosi Primus League itakua imeingiya katika wiki yake ya 26 katika viwanja tofauti vya inchini humo. Nahii ndio ratiba ya michezo itakayo chezwa katika wiki hiyo. Ijuma, April 16, …

Read More »

Musongati FC : Rukundo Jean De Dieu amekabidhiwa tunzo lake.

Mwalimu wa timu ya Musongati FC ya mkoa wa Gitega, alikabidhiwa tunzo lake la BCM Burundi kama mwalimu bora wa mwezi februari katika ligi kuu Burundi Primus League. Ilikua hiyi ijumapili katika uwanja wa Ingoma mkoani Gitega, kabla ya kuishinda Aigle Noir CS (1-0). Mwalimu wa timu ya Musongati upande …

Read More »

Primus League: Matokeo na msimamo wiki ya 25 ya ligi kuu Burundi.

Wiki ya 25 ya ligi kuu inchini Burundi maarufu Primus, ni kwamba timu ya askari Polisi Rukinzo FC ambayo ipo katika mbio za kuwania  ubingwa iliishinda timu ya Olympic Star  kutoka mkoani Muyinga mabao  (2-1). Inter Star ilishindwa dhidi ya Kayanza United nyumbani katika uwanja wa Intwari mjini Bujumbura  mabao …

Read More »

#Burundi #Football: Burundi itachuana dhidi ya Masri.

Timu ya taifa ya Burundi, Intamba Murugamba itachuana na timu ya taifa ya Misri (Pharaohs) katika mchezo wa kirafaiki unao tarajiwa kuchezwa june 03 2021 huko mjini Cairo katika inchi ya Misri (Egypt). Hayo yalifahamishwa Reverien Ndikuriyo mwenye kiti wa shirika la mpira wa miguu inchini Burundi, FFB kupitia ukurasa wake wa facebook.

Read More »