ParsToday Kiswahili

#ParsToday. | Raisi: Njama za maadui za kuitenga Iran zimefeli

Raisi: Njama za maadui za kuitenga Iran zimefeli

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia njama za karibuni za maadui za kutaka kutoa pigo kwa nchi hii na kueleza kuwa: Njama za maadui za kutaka Iran itengwe zimegonga mwamba. Katika siku za karibuni wafanya fujo na waibua ghasia katika walikusanyika katika mitaa ya baadhi ya miji ya Iran …

Read More »

#ParsToday. | Alkhamisi tarehe 29 Septemba 2022

Alkhamisi tarehe 29 Septemba 2022

Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na tarehe 29 Septemba 2022. Siku kama ya leo miaka 814 iliyopita, aliaga dunia Ibn Athir Jazari, mwanahistoria, mtaalamu wa fasihi na mpokezi mkubwa wa hadithi. Ibn Athir alizaliwa mwaka 555 Hijria huko Iraq na kujifunza taaluma mbalimbali. Alipata umashuhuri katika …

Read More »

#ParsToday. | Askari 11 wauawa, raia 50 watoweka kufuatia shambulio la kigaidi Burkina Faso

Askari 11 wauawa, raia 50 watoweka kufuatia shambulio la kigaidi Burkina Faso

Wanajeshi wasiopungua 11 wa Burkina Faso wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio linaloaminika kuwa la kigaidi kaskazini mwa nchi hiyo. Hayo yaliripotiwa jana Jumanne na shirika la habari la Reuters ambalo limeeleza kuwa, msafara wa magari 150 ulishambuliwa na magaidi wanaobeba silaha katika mji mmoja wa kaskazini mwa nchi, …

Read More »

#ParsToday. | HAMAS: Taifa la Palestina litapata ushindi katika vita vyake na utawala haramu wa Israel

HAMAS: Taifa la Palestina litapata ushindi katika vita vyake na utawala haramu wa Israel

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, taifa la Palestina ndilo litakaloibuka na ushindi katika vita na utawala ghasibu wa israel. Hazim Qassim, msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, himaya, uungaji mkono, muqawama na kusimama kidete taifa la Palestina …

Read More »

#ParsToday. | Idadi ya vifo vya Ebola Uganda yafikia 21; maambukizo zaidi yaripotiwa

Idadi ya vifo vya Ebola Uganda yafikia 21; maambukizo zaidi yaripotiwa

Idadi ya watu walioaga dunia nchini Uganda kwa maradhi hatari ya Ebola imeongezeka na kufikia 21 huku kukiweko na taarifa za kuenea kwa kasi maambukizo ya maradhi hayo. Taarifa kutoka nchini Uganda zinasema kuwa, miji mingine kadhaa katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki imeripoti kesi za maambukizo ya ebola na …

Read More »

#ParsToday. | Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na mawaziri wenzake wa Uganda, Eritrea na Imarati

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na mawaziri wenzake wa Uganda, Eritrea na Imarati

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alionana kwa nyakati tofauti na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Uganda, Eritrea na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kubadilishana nao mawazo kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa. Mazungumzo ya mawaziri hao yamefanyika mjini New …

Read More »

#ParsToday. | Nafasi ya vikundi vya kifalme na vyombo vya habari vinavyopingana Uislamu katika machafuko ya sasa nchini

Nafasi ya vikundi vya kifalme na vyombo vya habari vinavyopingana Uislamu katika machafuko ya sasa nchini

Katika siku za hivi karibuni, miji mbalimbali ya Iran imeshuhudia ukosefu wa usalama ambapo mkono wa waungaji mkono wa mfumo wa utawala wa kifalme na vyombo vya habari vya upinzani unaonekana wazi. Maandamano ya kulalamikia masuala mbalimbali ni haki ya kiraia katika kila nchi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran …

Read More »

#ParsToday. | Rais Raisi aondoka New York na kurejea Tehran

Rais Raisi aondoka New York na kurejea Tehran

Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Ijumaa ameondoka jijini New York, Marekani na kuelekea Tehran baada ya kushiriki katika Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Rais Sayyid Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ameondoka New York na kurejea Tehran baada ya …

Read More »

#ParsToday. | Waafrika Kusini wataka Uingereza irejeshe almasi iliyoporwa iliyo katika fimbo ya Malkia

Malkia Elizabeth II aliyetawala  Uingereza kwa miaka 70 afariki

Wito umeongezeka nchini Afrika Kusini kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza kwa ajili ya kurejeshwa kwa almasi ya kipekee iliyoporwa na wakoloni Waingereza nchini humo. Raia wa Afrika Kusini wanadai kurejeshwa kwa almasi hiyo ambayo ni maarufu kama ‘Nyota Kubwa ya Afrika, ambayo iko pamoja na vito …

Read More »

#ParsToday. | Sura halisi ya Mapinduzi ya Kiislamu, sababu kuu ya vikwazo dhidi ya Iran

Sura halisi ya Mapinduzi ya Kiislamu, sababu kuu ya vikwazo dhidi ya Iran

Alena Douhan, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesambaza rasmi ripoti yake kuhusu athari za vikwazo vya Marekani kwa wananchi wa Iran na kusema kuwa, vikwazo hivyo vipo na vimeendelea kuwepo tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Douhan aliitembelea Iran kuanzia tarehe 17 hadi 28 Mei …

Read More »

#ParsToday. | Utawala wa Kizayuni wa Israel watiwa kiwewe na droni za Iran

Utawala wa Kizayuni wa Israel watiwa kiwewe na droni za Iran

Chombo kimoja cha habari cha utawala wa Kizayuni kimeelezea kuingiwa na hfu kubwa kutokana na kuimarika teknolojia ya ndege zisizo na rubani (droni) za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika miaka ya hivi karibuni na kugeuka teknolojia hiyo kuwa sehemu muhimu katika mkakati wa kujihami taifa hili la Kiislamu. Gazeti …

Read More »

#ParsToday. | Spika wa Bunge la Iran: Maadui wanavigeuza vita vya Yemen kuwa vita vya kiuchumi

Spika wa Bunge la Iran: Maadui wanavigeuza vita vya Yemen kuwa vita vya kiuchumi

Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema, maadui wanavigeuza vita vya Yemen kuwa vita vya kiuchumi. Muhammad Abdussalam, msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen leo amekutana na kuzungumza na Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Bunge la Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, katika …

Read More »

#ParsToday. | Wayemen walivyojiimarisha kwa nguvu za kijeshi kuzuia adui asijusuru kuanzisha mashambulio

Wayemen walivyojiimarisha kwa nguvu za kijeshi kuzuia adui asijusuru kuanzisha mashambulio

Wakati mwaka wa nane wa vita vilivyoanzishwa na muungano wa kijeshi wa Saudi Arabiadhidi ya Yemen ukiwa unaendelea kupita, Wayemen wanazidi kuongeza nguvu na uwezo wao wa kijeshi wa kumzuia adui asithubutu kuanzisha mashambulio dhidi ya nchi hiyo. Mwaka wa nane wa vita ulivyoanzisha muungano wa Saudia dhidi ya Yemen …

Read More »

#ParsToday. | Malkia Elizabeth II aliyetawala Uingereza kwa miaka 70 afariki

Malkia Elizabeth II aliyetawala  Uingereza kwa miaka 70 afariki

Malkia Elizabeth II wa Uingereza aliyeitawala nchi hiyo ya Ulaya kwa muda wa miaka 70 amefariki dunia Alhamisi akiwa na umri wamiaka 96 huku mustakabali wa ufalme anaouacha ukiwa matatani. Masaa machache kabla ya kifo chake, kasri ya Buckingham ilikuwa imetoa taarifa ikieleza wasiwasi juu ya afya ya Malkia huyo …

Read More »

#ParsToday. | Baraza la Wanazuoni Wataalamu: Palestina ndio kadhia ya kwanza ya ulimwengu wa Kiislamu

Baraza la Wanazuoni Wataalamu: Palestina ndio kadhia ya kwanza ya ulimwengu wa Kiislamu

Baraza la Wanazuoni Wataalamu linalomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kusimamia kazi zake limesisitiza kuwa, Palestina ndio kadhia ya kwanza katika ulimwengu wa Kiislamu kama ilivyo pia suala la Beitul-Muqaddas. Sisitizo hilo limo katika taarifa ya mwisho ya mkutano wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu linalomchagua Kiongozi Muadhamu …

Read More »