Burundi

Kombe la Rais : Vital’O FC na Flambeau Du Centre zimeweka mguu mmoja fainali.

Timu ya Vital’O FC na Flambeau Du Centre zimeweka mguu mmoja fainali ya kombe la Rais wa jamuhuri inchini Burundi baada ya kufanya vizuri katika mchezo wa awali na wa nusu fainali ya kombe hilo. katika mchezo wa kwanza ulio chezwa hii ijumatano katika uwanja wa Intwari mjini Bujumbura, Vital’O …

Read More »

AFCON (W) 2022: Burundi dhidi ya Eritrea. Tanzania, Uganda, Rwanda, DR Congo, Nigeria … Droo kamili ya mchujo.

Katika droo ambayo imepigwa hii ijumatatu kule mjini Cairo, Ni kwamba timu ya taifa ya Burundi ya mpira wa miguu ya wasichana, itachuana na timu ya taifa ya  Eritrea ya wasichana katika mchezo wa kwanza wa kutafuta tiketi ya kufuzu kuelekea kule Moroc 2022 katika kombe la mataifa barani Afrika …

Read More »

Basketball: Kern imenyakua kombe la playoffs kwa kuishinda Dynamo.

Timu ya mpira wa vikabu ya Kern ambayo ni bingwa wa ligi la shirika la mpira wa vikabu mjini Bujumbura ACBAB, imejiongeza kombe lingine la ACBAB Playoffs kwa kuishinda timu ya Dynamo BBC mara tatu kwa mara moja. Timu ya Kern ikisherekea ushindi. picha ya Akeza.Net Ushindi mara tatu katika …

Read More »

Primus League: Flambeau Du Centre bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi. Inter Star yaelekea pabaya !

Timu ya  Flambeau Du Centre ambayo ilimaliza ikiwa na fasi ya kwanza katika wiki ya 26 ya michuano ya ligi kuu Burundi, bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi  baada ya kuishinda timu ya Vital’O FC bao (2-1) katika mchezo ulio chezwa hii ijumaa katika uwanja wa  Urumuri mkoani Ruyigi. Inter …

Read More »

Ligue B : Les Crocos FC yaweka mguu mmoja ndani ya Primus League.

Katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kutafuta tiketi ya kushiriki ligi kuu msimo ujao, ulio chezwa hiyi ijumapili ya wiki ilio malizika katika uwanja wa Umuco mkoani Muyinga,  timu ya New Oil FC walipotezea nyumani kwa kuchapwa bao moja bila (0-1) dhidi ya timu ya Les Crocos FC kutoka …

Read More »

Primus League: Matokeo pamoja na msimamo ya wiki ya 26.

Matokeo kamili ya wiki ya 26 ya ligi kuu Burundi Ijumamosi april, 17.2021 Bumamuru FC 2-0 Rukinzo FC Aigle Noir CS 1-0 Inter Star Buja City 3-0 Atletico Academy. Ijumaa april, 16.2021 Kayanza United 1-0 Musongati FC Les Eléphants FC 1-3 Flambeau Du Centre Vital’O FC 1-1 Messager Ngozi FC …

Read More »

Ligue B: Timu ipi kati ya New Oil FC na Les Crocos FC itakayo zishindikiza timu za Top Junior na Flambeau de l’est ligi kuu ?

Timu ya  New Oil FC  kutokea mkoani Muyinga itachuana na timu ya Les Crocos FC kutokea mkoani Rumonge kwenye mchezo wa mchujo wakiisaka tiketi moja inayo saliya ya kushiriki ligi kuu Burundi maarufu kama Primus League msimo wa 2021-2022.  Mchezo huyo utachezwa hapo kesho ijumapili april 18/2021 majira ya alasiri …

Read More »

Primus League: Ratiba ya wiki ya 26 ya ligi kuu Burundi.

Ligi kuu inchini Burundi yaelekea kufikia tamati ambapo kunasalia mechi 5 kwa kila timu ili ligi lifikie tamati.  Hii ijuma na ijumamosi Primus League itakua imeingiya katika wiki yake ya 26 katika viwanja tofauti vya inchini humo. Nahii ndio ratiba ya michezo itakayo chezwa katika wiki hiyo. Ijuma, April 16, …

Read More »

Musongati FC : Rukundo Jean De Dieu amekabidhiwa tunzo lake.

Mwalimu wa timu ya Musongati FC ya mkoa wa Gitega, alikabidhiwa tunzo lake la BCM Burundi kama mwalimu bora wa mwezi februari katika ligi kuu Burundi Primus League. Ilikua hiyi ijumapili katika uwanja wa Ingoma mkoani Gitega, kabla ya kuishinda Aigle Noir CS (1-0). Mwalimu wa timu ya Musongati upande …

Read More »

Primus League: Matokeo na msimamo wiki ya 25 ya ligi kuu Burundi.

Wiki ya 25 ya ligi kuu inchini Burundi maarufu Primus, ni kwamba timu ya askari Polisi Rukinzo FC ambayo ipo katika mbio za kuwania  ubingwa iliishinda timu ya Olympic Star  kutoka mkoani Muyinga mabao  (2-1). Inter Star ilishindwa dhidi ya Kayanza United nyumbani katika uwanja wa Intwari mjini Bujumbura  mabao …

Read More »

#Burundi #Football: Burundi itachuana dhidi ya Masri.

Timu ya taifa ya Burundi, Intamba Murugamba itachuana na timu ya taifa ya Misri (Pharaohs) katika mchezo wa kirafaiki unao tarajiwa kuchezwa june 03 2021 huko mjini Cairo katika inchi ya Misri (Egypt). Hayo yalifahamishwa Reverien Ndikuriyo mwenye kiti wa shirika la mpira wa miguu inchini Burundi, FFB kupitia ukurasa wake wa facebook.

Read More »

#Burundi #CANU23: Intamba Murugamba U-23 Yailaza Kilimanjaro Warriors Mjini Bujumbura.

Timu ya taifa ya Burundi chini ya umbri wa myaka 23, Intamba murugamba wamefanikiwa kuilaza Tanzania ya vijana chini ya umbri huyo maarufu Kilimanjaro Warriors kwaushindi mnono wa bao mbili bila (2-0), Katika mchezo wa kwanza wa kuisaka tiketi ya kuelekea Masri 2019, kwenye kombe la mataifa barani Afrika chini …

Read More »

#Burundi #CANU23: Kikosi Cha Wachezaji 11 Watakao Tangulia Uwanjani Dhidi Ya Tanzania U-23.

Kocha watimu ya taifa ya Burundi chini ya umbri wa myaka 23, Joslin Bipfubusa amekitangaza kikosi cha wachezaji 11 watakao tangulia uwanjani dhidi ya Tanzania chini ya umbri huyu, kwenye mchezo ambao unapigwa idjumatano hiyi alasiri  katika uwanja wa mwanja mfalme Louis Rwagasore mjini Bujumbura kwalengo la kuisaka tiketi yakombe …

Read More »

Vital’O FC/ Jean Gilbert Kanyenkore, “Musongati FC wanakatatizo kakuto kujua kufunga”

Katika mchezo wa wiki ya 14 ya ligi kuu inchini Burundi, maarufu Primus Ligue,  timu ya Vital’o FC ama Mzabarao wamefanikiwa kuishinda kwa tabu timu ya Musongati FC kwa bao moja kwa bila (1-0). Bao ambalo limefungwa kwenye dakika ya 93′ na mshumbuliaji wa timu hiyo Sudi Abdallah. Ilikua  katika …

Read More »

Aigle Noir C.S: Joslin Bipfubusa amekitangaza kikose cha wachezaji 11 watakao shuka dimbani dhidi ya Flambeau Du Centre.

Saa Moja peke ndio imesalia ili Aigle Noir ipambane na timu yake ya  Flambeau Du Centre, katika uwanja wa Ingoma kwenye majira ya saa saba mchana, Joslin Bipfubusa ambae ni mwalimu watimu hiyo amesha kitangaza kikosi cha wachezaji 11 ambao watako anza uwanjani dhidi ya Flambeau Du Centre kupitia ukurasa …

Read More »