Rwanda

AFCON (W) 2022: Burundi dhidi ya Eritrea. Tanzania, Uganda, Rwanda, DR Congo, Nigeria … Droo kamili ya mchujo.

Katika droo ambayo imepigwa hii ijumatatu kule mjini Cairo, Ni kwamba timu ya taifa ya Burundi ya mpira wa miguu ya wasichana, itachuana na timu ya taifa ya  Eritrea ya wasichana katika mchezo wa kwanza wa kutafuta tiketi ya kufuzu kuelekea kule Moroc 2022 katika kombe la mataifa barani Afrika …

Read More »

Rwanda Premier League: Tshabalala mashine ya mabao huko Rwanda.

Mshambuliaji wa Burundi anaeichezea timu ya AS Kigali ya huko Rwanda, Hussein Shaban maarufu kama «Tshabalala » anaendelea kufanya vizuri katika ligi kuu ya Rwanda maarufu kama Rwanda Premier League. Tshabalala ameifungiya timu yake mabao yote mawili ambayo waliishinda  timu ya Etincelles FC mabao (2-1) katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa …

Read More »

Rayon Sports: Ivan Minnaert na Etienne Karekezi wote hali kazalika, wanashutumiwa kutojua jisi ya kuishi na wachezaji.

Kocha mbeleji wa sasa wa timu pendwa inchini Rwanda, Rayon Sports, anashutumiwa kuto kujua jisi ya kuishi na wachezaji wa timu hiyo hata pia kocha alie mtangulia Etienne Karekezi nae pia anashutumia kua ni hali kadhalika na huyo mzungu. Ni madayi yake kiungo wa kati wa timu ya taifa intamba …

Read More »