Uganda

#VOA. | Aina mpya ya virusi vya Covid-19 vyagundulika Afrika Kusini

Aina mpya ya virusi vya Covid-19 vyagundulika Afrika Kusini

Aina mpya ya virusi vya Corona vimegunduliwa nchini Afrika Kusini ambavyo wanasayansi wanasema vinaleta wasiwasi kwa kuwa vinabadilika kwa kasi, na kusambaa kwa vijana’ Maambuki kwa vijana yapo Gauteng, jimbo lenye watu wengi zaidi kwa mujibu wa taarifa ya waziri wa afya wa Afrika Kusini Joe Phaahla, Alhamisi. Virusi vya …

Read More »

#VOA. | Kenyatta azitaka serikali za kaunti kupanda miti na kulinda mazingira

Mkutano wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa COP26 wa UN, Glasgow, Scotland, Nov. 13, 2021.

Mkutano huo unaojumuisha kaunti 47 kwenye jukwaa moja unaangazia athari za mabadiliko ya hali ya hewa nchini Kenya na jinsi serikali hizo na mashirika binafsi yanavyoweza kushirikiana katika ubia kukabili athari zake kwa maisha ya raia, mazingira na mifugo. Zaidi ya wajumbe 3,000 miongoni mwao wakiwa ni wakuu wa serikali, …

Read More »

#VOA. | Uganda yakamata washukiwa wa ugaidi huku engine 7 wakiuwawa

Uganda yakamata washukiwa wa ugaidi huku engine 7 wakiuwawa

Uganda inasema kwamba washukiwa saba wameuwawa na wengine 106 wanashikiliwa kutokana na matukio ya kigaidi. Hayo yametokea wakati wa oparesheni iliyofanywa na vikosi vya usalama wakihusishwa na washukiwa watatu wa mabomu ya kujitoa muhanga katika mji mkuu Kampala wiki iliyopita, kwa mujibu wa taarifa ya shirika la habari la Reuters …

Read More »

#VOA. | Ethiopia yavionya vyombo vya habari vya kimataifa

Ethiopia yavionya vyombo vya habari vya kimataifa

Mamlaka ya Habari ya Serikali Kuu ya Jamhuri ya Ethiopia imetuma barua ya onyo kwa mashirika ya habari ya Associated Press (AP), Reuters, CNN na shirika la utangazaji la BBC kwa kusambaza habari zinazochochea uadui kati ya watu na kuhujumu uhuru wa nchi hiyo. Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Habari …

Read More »

#VOA. | Marekani yaunga mkono makubaliano ya kimataifa ya kupunguza uchafu wa plastiki baharini

Marekani yaunga mkono makubaliano ya kimataifa ya kupunguza uchafu wa plastiki baharini

Marekani imeunga mkono mazungumzo kuhusu makubaliano ya kimataifa ya kupunguza uchafuzi wa plastiki, ambao unatishia uhai wa bahari na viumbe vya baharini duniani. Wakati wa ziara yake katika makao makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Mazingira (UNEP) mjini Nairobi, Kenya, Waziri wa Mambo ya Nje wa …

Read More »

#VOA. | Ripoti ya Amnesty International yabainisha vifo vya waandamanaji Nigeria

Amnesty International

Ripoti ya awali ya tume inayochunguza vifo vya waandamanaji wa Nigeria mwaka 2020, kwenye njia moja kuu ya mji wa Lagos imegundua jeshi liliwapiga risasi na kuwauwa waandamanaji wasio na silaha katika unyanyasaji unaoweza kuchukuliwa kama mauaji ya umma. Matokeo ya ripoti hiyo yanatofautiana moja kwa moja na ripoti ya …

Read More »

#VOA. | Mtoto wa Gadhafi kuwania urais wa Libya

Mtoto wa Gadhafi kuwania urais wa Libya

Gadhafi alionekana wakati akijiandikisha kama mgombea wa urais kwenye uchaguzi mkuu wa Decemba unaolenga kumaliza miaka mingi ya ghasia tangu baba yake alipoondolewa madarakani. Saif al Islam al Gadhafi mwenye umri wa miaka 49 alionekana kwenye video ya tume ya kitaifa ya uchaguzi huku akiwa amevaa gwanda la kitamaduni pamoja …

Read More »

#VOA. | Somalia : Mahakama ya kijeshi yawahukumu kifo wanajeshi wawili wa Uganda

Somalia : Mahakama ya kijeshi yawahukumu kifo wanajeshi wawili wa Uganda

Mahakama ya Kijeshi ya Uganda iliendesha kesi mjini Mogadishu na imewakuta maafisa wawili hao na makosa ya kuua raia kwa makusudi karibu na ujirani wa Golweyne ilioko sehemu ya mkoa wa Lower Shabelle nchini Somalia Agosti mwaka 2021, na wengine watatu walihukumiwa kifungo cha jela kwa kushiriki katika uhalifu huo,” …

Read More »

#VOA. | Raiya wa kigeni miongoni mwa watu waliozuiliwa Ethiopia

Raiya wa kigeni miongoni mwa watu waliozuiliwa Ethiopia

Maelfu ya watu kutoka kabila la Tigrinya kwenye mji mkuu wa Addis Ababa pamoja na sehemu nyingine za taifa hilo la pili kwa wingi wa watu barani Afrika tayari wamezuiliwa wakati kukiwa na hofu kwamba wengine wengi watakamatwa kwenye msako unaoendelea nchini humo. Alhamis serikali imeamuru wamiliki wa nyumba za …

Read More »

#VOA. | VOA Express

VOA Express

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala …

Read More »

#VOA. | Waasi wa M23 washambulia kambi za jeshi DRC, maelfu ya raia wakimbilia Uganda

Waasi wa M23 washambulia kambi za jeshi DRC, maelfu ya raia wakimbilia Uganda

Maelfu ya wakimbizi kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wameingia kusini magharibi mwa Uganda katika wilaya ya Kisoro wakitoroka mapigano mapya yanayoongozwa na kundi la M23 nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Vyombo vya habari vya Uganda vinaripoti kwamba Jeshi la Uganda UPDF limeimarisha doria mpakani mwa Uganda na Jamhuri …

Read More »

#VOA. | Rais wa Cameroon, Paul Biya aadhimisha miaka 39 madarakani

Rais wa Cameroon, Paul Biya  aadhimisha miaka 39 madarakani

Wafuasi wa chama tawala cha Cameroon, Cameroon Peoples’ Democratic Movement, CPDM, wamekuwa wakisherehekea uongozi wa Rais Paul Biya na kusema anaweza bado kutawala taifa hilo la Afrika ya Kati kwa miaka mingine saba kuanzia mwaka 2025. Biya alitangazwa mshindi katika uchaguzi wa mwaka 2018 akiwa amepata zaidi asilimia 80 ya …

Read More »

#VOA. | ISIS waongeza mashambulizi Syria

ISIS waongeza mashambulizi Syria

Shirika la habari la North Press limesema kwamba takriban wanajeshi wawili wa serikali wameuwawa Jumatatu wakati wa shambulizi kutoka kwa watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa ISIS, karibu na mji wa kale wa Palmyra katikati mwa Syria. Ripoti zinasema kwamba wapiganaji walilenga kituo cha uchaguzi cha jeshi la Syria wakati wakitumia …

Read More »

#VOA. | Hali ya tahadhari yatangazwa Ethiopia, wapiganaji watangaza nia ya kuangusha serikali

Hali ya tahadhari yatangazwa Ethiopia, wapiganaji watangaza nia ya kuangusha serikali

Maafisa wa serikali ya Ethiopia wamehimiza raia kujitayarisha kulinda makao yao, baada ya wapiganaji wa Tigray, ambao wamekuwa wakipiga vita serikali kuu kwa mda wa mwaka mmoja sasa, kutangaza kwamba wataingia katika mji mkuu Addis Ababa. Kulingana na shirika la habari la Ethiopia, viongozi wa mji wa Addis Ababa, wametaka …

Read More »

#VOA. | China yafungua tena biashara na Afghanistan

China yafungua tena biashara na Afghanistan

Ndege ya mizigo iliyokuwa imebeba tani 45 za mbegu za Pine Jumapili imeondoka kwenye uwanja wa ndege wa Kabul kuelekea kwenye masoko ya China, ikiashiria ukurasa mpya wa kibiashara kati ya mataifa hayo tangu Taliban kukamata serikali mwezi Agosti. Msemaji wa serikali ya Taliban Bilal Karimi ameiambia VOA kwamba wanatumai …

Read More »