Uganda

#VOA. | Zelenskyy aishtumu Russia kuishika Afrika mateka kwa kuzuia ngano za Ukraine

Zelenskyy aishtumu Russia kuishika Afrika mateka kwa kuzuia ngano za Ukraine

Katika hotuba kwa njia ya video kwa viongozi wa Umoja wa Afrika Jumatatu, Zelenskyy amesema, ” Vita hivi vinaweza kuonekana kuwa mbali sana na kwenu na nchi zenu. Lakini kwa bahati mbaya, kupanda kwa bei ya chakula kumevifanya vita hivyo kuhisiwa na mamilioni ya familia za Afrika.” Amesema Ukraine inafanya …

Read More »

#VOA. | Mashirika ya kibinadamu yanataka Tanzania kusitisha shughuli ya kuwahamisha Wamaasai

Mashirika ya kibinadamu yanataka Tanzania kusitisha shughuli ya kuwahamisha Wamaasai

Wiki iliyopita, makabiliano makali yalitokea baada ya maafisa wa serikali wa kuchora mipaka na maafisa wa polisi walipoanza kuweka mipaka kwenye ardhi yenye ukubwa wa kilomita 1500 za mraba, ambayo serikali ya Tanzania inaripotiwa kwamba inapanga kuwapa wawekezaji kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya utalii wa …

Read More »

#VOA. | DRC yafunga mipaka yake yote na Rwanda

DRC yafunga mipaka yake yote na Rwanda

Mpaka wa Petit Barier ulio mjini Goma, utakuwa ukifungwa kuanzia saa tisa alasiri hadi saa moja asubuhi ili kuruhusu wafanyabiashara kufanya shughuli zao. Awali, mwanajeshi wa DRC alivuka mpaka na kuingia Rwanda ambapo aliwashambulia kwa risasi na kuwajeruhi polisi wawili wa Rwanda kabla ya mwanajeshi huyo kupigwa risasi na kuuawa. …

Read More »

#VOA. | Benki kuu Marekani imetangaza kuongeza kiwango cha riba kukabiliana na mfumuko wa bei

Benki kuu Marekani imetangaza kuongeza kiwango cha riba kukabiliana na mfumuko wa bei

Benki kuu ya Marekani ilitangaza Jumatano kuwa itapandisha viwango vya riba kwa kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha takriban miaka 30 ikiwa ni juhudi za kukabiliana na mfumuko wa bei bila ya kuufanya uchumi kudorora. Benki kuu ilisema itaongeza kiwango chake muhimu cha riba kwa robo tatu ya …

Read More »

#VOA. | Vikosi vya Russia vimeshambulia kiwanda cha kemikali kilichopo Ukraine

Vikosi vya Russia vimeshambulia kiwanda cha kemikali kilichopo Ukraine

Vikosi vya Russia vilishambulia kwa mabomu kiwanda cha kemikali kinachohifadhi mamia ya wanajeshi na raia katika mji wa Sievierodonetsk huko mashariki mwa Ukraine siku ya Jumapili lakini gavana wa mkoa wa Luhansk alisema kiwanda hicho kiko chini ya udhibiti wa Ukraine. Gavana Serhii Haidai alisema huo ni uongo unaotolewa na …

Read More »

#VOA. | Maandamano ya ‘March for Our Lives’ yarejea na shinikizo la udhibiti wa bunduki

Maandamano ya 'March for Our Lives' yarejea na shinikizo la udhibiti wa bunduki

Mikusanyiko hii itakuwa katika mji mkuu wa taifa hili na sehemu nyingine nchini Marekani ikishinikiza kuwa Bunge la Marekani lipitishe mabadiliko muhimu ya sheria za umiliki wa bunduki. Mkusanyiko wa pili wa “March for Our Live” (tuandamane kwa ajili ya uhai wetu) utafanyika Jumamosi mbele ya eneo la Washington Monument, …

Read More »

#VOA. | Kikosi cha nchi nne za Afrika magharibi kinasema kimewaua wanamgambo wa kiislamu 805

Kikosi cha nchi nne za Afrika magharibi kinasema kimewaua wanamgambo wa kiislamu 805

Nchi hizo nne za Afrika magharibi pamoja na Benin ziliunda kikosi hicho mwaka wa 2015 kupambana na kundi la Boko Haram na hasimu wake, the Islamic State in West Africa Province ( ISWAP). Kikosi kazi hicho cha mseto (MNJTF) kimesema wanamgambo wa kiislamu 805 waliuawa kwenye visiwa vya ziwa Chad …

Read More »

#VOA. | Uhusiano kati ya Marekani na Saudi Arabia unaimarika

Uhusiano kati ya Marekani na Saudi Arabia unaimarika

Kulingana na maafisa wa serikali, ujumbe wa kwanza wa Saudi Arabia utaitembelea Washington tarehe 15 Juni na utaongozwa na waziri wa biashara Majid bin Abdullah al-Qasabi. Ujumbe wa pili utaongozwa na waziri wa uwekezaji Khaled Al-Falih umepangwa kuwasili mwishoni mwa mwezi huu na utawajumuisha maafisa wa serikali na wafanyabiashara. Kulingana …

Read More »

#VOA. | Russia yashutumiwa kwa wizi wa nafaka ya Ukraine

Russia yashutumiwa kwa wizi wa nafaka ya Ukraine

Balozi Vasyl Bodnar, amesema kwamba Russia inasafirisha nafaka iliyoibwa kutoka Ukraine, na kuongezea kwamba utawala wa Kyiv unashirikiana na polisi wa kimataifa –Interpol, kuwakamata wahusika. Ubalozi wa Ukraine mjini Ankara imetaja meli zinazosafirisha chakula cha wizi kutoka Ukraine. Meli hizo ni Nadezhda, Finikia, Sormivskiy, Vera, na Mikhail Nenashev. Ubalozu wa …

Read More »

#VOA. | Rais Biden anasisitiza bunge kupitisha sheria mpya ya udhibiti wa bunduki Marekani

Rais Biden anasisitiza bunge kupitisha sheria mpya ya udhibiti wa bunduki Marekani

Rais wa Marekani Joe Biden alisema Jumatatu kwamba ufyatuaji risasi wa umma nchini Marekani umekuwa mbaya sana kwamba hata wale wanaopinga masharti kwa mauzo ya bunduki wamekuwa na busara zaidi katika kujaribu kuzuia ghasia. Siku moja baada ya ziara yake yenye hisia katika shule ya msingi ya Robb kwenye jimbo …

Read More »

#VOA. | Kitongoji cha Mafalala, Msumbiji na juhudi za kuhifadhi historia yake

Kitongoji cha Mafalala, Msumbiji na juhudi za kuhifadhi historia yake

Mwandishi wetu Sunday Shomari anakuletea yale yanayopatikana katika kitongoji cha Mafalala, Maputo Msumbiji, na juhudi zinazofanyika kuhifadhi kumbukumbu yake yenye chimbuko la utamaduni wa baada ya uhuru wa nchi hiyo. Pia kuna habari kemkem atazukupasha katika simulizi hii, endelea kumsikiliza… Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili. …

Read More »

#VOA. | DRC: Waasi wa M23 washambulia kambi za jeshi la serikali

DRC: Waasi wa M23 washambulia kambi za jeshi la serikali

Afisa wa jeshi ameambia shirika la habari la AFP kwamba mapigano makali yameendelea katika kambi ya jeshi ya Rumangabo, Rutshuru, kivu kaskaizni, kilomita 40 kutoka mjini Goma. Msemaji wa jeshi la DRC Generali Sylvain Ekenge, amesema kwamba mapigano yanaendelea tangu asubuhi. Wakaazi wa Rumangabo wameripoti kusikia milio ya risasi siku …

Read More »

#VOA. | Marekani yafunga njia zote zilizokuwa zinatumiwa na Russia kwa kulipa madeni yake

Marekani yafunga njia zote zilizokuwa zinatumiwa na Russia kwa kulipa madeni yake

Wizara ya fedha ya Marekani imesema katika taarifa kwamba haina mpango wa kutoa leseni mpya ili kuiruhusu Russia kuendelea kuwalipa wakopeshaji wake kupitia benki za Marekani. Tangu awamu ya kwanza ya vikwazo, wizara ya fedha ya Marekani ilizipa benki leseni ya kushughulikia malipo yoyote ya dhamana kutoka Russia. Muda wa …

Read More »

#VOA. | Shambulizi la bunduki Buffalo, New York laibua mjadala wa umiliki wa bunduki

Shambulizi la bunduki Buffalo, New York laibua mjadala wa umiliki wa bunduki

Mjadala wa umiliki wa bunduki unaendelea Marekani wakati taifa hilo likiomboleza vifo vya watu 10 katika shambulizi la Jumamosi mchana mjini Buffalo, New York ambapo mtu menye bunduki alifyatua risasi katika duka la chakula lilioko katika makazi lenye wateja wengi watu weusi. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa …

Read More »

#VOA. | Rais Zelenskyy asema ushindi katika vita utatokana na suluhu ya kidiplomasia

Rais Zelenskyy asema ushindi katika vita  utatokana na suluhu ya kidiplomasia

Rais wa Ukraine Volodomyr Zelenskyy anasema ushindi katika vita vinavyoendelea nchini mwake na Russia hatimaye utatokana na suluhu ya kidiplomasia. Ushindi utakuwa mgumu, utakuwa na umwagaji damu na katika vita, lakini mwisho wake utakuwa katika diplomasia. Nina hakika sana kuhusu hili,” Zelenskyy alisema katika mahojiano ya televisheni ya Ukraine Ijumaa. …

Read More »