Uganda

#VOA. | Jeshi la Mali limezuia vikosi vya UN kufanya doria kwenye kiini cha ghasia za wanajihadi

Jeshi la Mali limezuia vikosi vya UN kufanya doria kwenye kiini cha ghasia za wanajihadi

Jeshi la Mali lilizuia vikosi vya Umoja wa Mataifa kufanya doria katika mji wa kati wa Djenne kiini cha ghasia na harakati za wanajihadi katika Sahel msemaji wa UN alisema Alhamis tukio la karibuni katika mifululizo ya shughuli zake huko. Tukio hilo linakuja wiki chache kabla ya mjadala wa UN …

Read More »

#VOA. | Kamala Harris na Blinken wamewasilisha rambirambi kwa familia ya marehemu Rais wa UAE

Kamala Harris na Blinken wamewasilisha rambirambi kwa familia ya marehemu Rais wa UAE

Makamu wa Rais wa Marekani kamala Harris na waziri wa mambo ya nje Marekani Antony Blinken siku ya Jumatatu waliwasilisha rambirambi kwa familia ya marehemu Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan aliyefariki Ijumaa. Harris na Blinken walikutana na Sheikh Mohammed bin Zayed …

Read More »

#VOA. | Bunge la Somalia lakutana kumchagua rais mpya, milipuko yasikika Mogadishu

Bunge la Somalia lakutana kumchagua rais mpya, milipuko yasikika Mogadishu

Uchaguzi huo ni sharti kwa nchi ya Somalia kuhakikisha misaada ya kigeni inaendelea kutolewa katika taifa hilo maskini ambalo limekumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa takriban miongo mitatu. Nusu dazeni ya wakazi na mwandishi wa habari wa Reuters walisikia milio iliyokuwa kama ya mizinga. Wasomali wamezoea mara kwa …

Read More »

#VOA. | Jukwaa la wandishi laangazia kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa CHADEMA

Jukwaa la waandishi laangazia matayarisho ya mazishi ya Rais Mwai Kibaki

Wanachama 19 waliokuwa wabunge wa viti maalumu CHADEMA wavuliwa ubunge. Ziara ya rais wa Tanzania, Samia Hassan nchini Uganda yawezesha mikataba mbalimbali kufikiwa. Waziri Matiang’i asema asilimia 40 ya wagombea Kenya ni wahalifu wa kutakatisha fedha. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili.              

Read More »

#VOA. | Watu 11 wafariki katika ajali ya ndege nchini Cameroon

Watu 11 wafariki katika ajali ya ndege nchini Cameroon

Wafanyakazi wa usafiri wa anga walipoteza mawasiliano na ndege hiyo ambayo ilionekana baadaye ndani ya msitu karibu na kijiji cha Nanga Eboko, umbali wa kilomita 150 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Yaounde, wizara ya usafiri imesema katika taarifa. Afisa wa wizara hiyo ambaye hakutaka jina lake litajwe, amesema, ndege hiyo …

Read More »

#VOA. | Wafilipino wapinga matokeo ya uchaguzi wa rais

Wafilipino wapinga matokeo ya uchaguzi wa rais

Washington —  Marcos Junior anaefahamika zaidi kwa jina la Bongbong, amepata asili mia 56 za kura, huku mpinzani wake mkuu, makamu rais Leni Roberdo akitoa wito wa umoja na utulivu kwa wafusai wake. Mgombea huyo alipata kura milioni 30.8 sawa na asili mia 56, ikiwa ni mara mbili zaidi ya …

Read More »

#VOA. | Wahamiaji 44 wafa maji katika pwani ya Western Sahara

Wahamiaji 44 wafa maji katika pwani ya Western Sahara

Wengine 12 wamenusurika kwenye ajali hiyo mbaya, ambayo ilitokea wakati boti hiyo ilipozama kwenye ufukwe wa Cap Boujdour, afisa wa shirika hilo Helena Maleno ameandika kwenye Twitter. Maleno ameandika kwamba manusura wamekamatwa. Miili ya waathirika saba ilipelekwa ufukweni lakini wengine hawakuweza kupatikana, Maleno ameongeza. Viongozi wa Morocco ambao wanadai eneo …

Read More »

#VOA. | Kudhibitiwa kwa bandari za Ukraine kumesababisha bei za bidhaa kupanda duniani kote – FAO

Kudhibitiwa kwa bandari za Ukraine kumesababisha bei za bidhaa kupanda duniani kote - FAO

Maafisa wa FAO wanaona matumaini madogo ya kupungua kwa bei ya chakula mradi tu kama vita vya Russia na Ukraine vitaendelea. Nchi zote mbili kwa pamoja zinachangia karibu theluthi moja ya mauzo ya ngano nje ya nchi na aina nyingine za nafaka na hadi asilimia 80 ya usafirishaji wa mafuta …

Read More »

#VOA. | Angela anajiandaa kushiriki michuano ya Tennis ya Roland Garros Ufaransa

Angela anajiandaa kushiriki michuano ya Tennis ya Roland Garros Ufaransa

Mkenya mwenye kipaji cha Tennis Angella Okutoyi, 17, aliyeweka historia katika michuano ya mwaka 2022 ya Australia Open kwa kuwa mwanamke wa kwanza kushinda michuano ya vijana junior grand slam anajiandaa kushiriki katika michuano ya Roland Garros Ufaransa. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili.              

Read More »

#VOA. | VOA Express

VOA Express

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala …

Read More »

#VOA. | Wagombea 47 wameidhinishwa Kenya kuwania urais kama wagombea binafsi.

Kenya imekuwa mwenyeji wa mkutano marais wa kikanda kujadili M23

Wagombea 47 wameidhinishwa Kenya kuwania urais kama wagombea binafsi kwenye kinyang’anyiro cha mwezi Agosti mwaka huu, hata pale ambapo vyama vikubwa vya siasa vikizusha vita dhidi ya wanasiasa wanaosimama peke yao gazeti la Daily nation limeripoti. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili.              

Read More »

#VOA. | Shinikizo laongezeka kwa Rais Putin kutolewa katika mkutano wa G20

Shinikizo laongezeka kwa Rais Putin kutolewa katika mkutano wa G20

White House inaashiria kuwa uamuzi wa Indonesia – inayoshikilia mwaka huu nafasi ya urais wa nchi 20 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani, G20 – kuikaribisha Ukraine katika mkutano wa viongozi wa Novemba huko Bali haitoshi kuhakikisha uwepo wa Rais wa Marekani Joe Biden – mpaka pale Rais wa Russia Vladimir …

Read More »

#VOA. | Jukwaa la waandishi laangazia matayarisho ya mazishi ya Rais Mwai Kibaki

Jukwaa la waandishi laangazia matayarisho ya mazishi ya Rais Mwai Kibaki

Waandishi kutoka maeneo mbalimbali wanamulika habari kuu za wiki na jinsi zilivyoripotiwa, zikiwa ni pamoja na kifo cha rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki, na mkutano kati ya waasi wa DRC na serikali ukiongozwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA …

Read More »

#VOA. | Sudan yawaachilia huru wanaharakati waliopinga mapinduzi ya kijeshi

Sudan yawaachilia huru wanaharakati waliopinga mapinduzi ya kijeshi

“Viongozi wote wa vuguvugu la the Forces for Freedom and Change, ambao walikuwa kizuizini katika wiki za karibuni, wameachiliwa,” wakili Azhari al-Haj ameiambia AFP. The Forces for Freedom and Change (FFC), ni kundi kubwa la kiraia la Sudan lililoondolewa madarakani kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya tarehe 25 Oktoba yaliyoongozwa na …

Read More »

#VOA. | Ramaphosa ahutubia bunge la Afrika kusini kuhusu mafuriko

Ramaphosa ahutubia bunge la Afrika kusini kuhusu mafuriko

Ramaphosa amezungumzia hatua ambazo zimechukuliwa na serikali kusaidia watu kufuatia mafuriko hayo, pamoja na ufadhili zaidi baada ya kutangaza mafuriko hayo kuwa janga la kitaifa. Kuna sehemu nyingi zilizoathiriwa na maafuriko hayo, ambazo hazijapata msaada kutoka kwa serikali. Rais Ramaphosa amesema kwamba zaidi ya dola milioni 63 zimetengwa kwa ajili …

Read More »