Uganda

#VOA. | Emmanuel Macron achaguliwa kwa muhula wa pili

Emmanuel Macron achaguliwa kwa muhula wa pili

Macron mwenye siasa za mrengo wa kati alipata asilimia 58 ya kura ikilinganishwa na Lepen aliyepata asilimia 42 kulingana na makadirio ya taasisi za ukusanyi wa kura ya maoni za vituo vya televisheni vya Ufaransa. Macron ni rais wa kwanza wa Ufaransa kushinda muhula wa pili kwa miongo miwili, lakini …

Read More »

#VOA. | Maombolezo ya Patrick Lyoya aliyeuwawa na polisi yafanyika Michigan

Maombolezo ya Patrick Lyoya aliyeuwawa na polisi yafanyika Michigan

Onyesha zaidi Show less Lyoya ambaye alizaliwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo alipigwa risasi na afisa wa idara ya polisi ya mji wa Grand Rapids ambaye hajatajwa jina baada ya kusimamishwa kazi mapema mwezi huu. Watu hao wawili walihangaika kugombania bunduki ya afisa huyo kabla ya Lyoya kupigwa risasi kisogoni …

Read More »

#VOA. | Kenya imekuwa mwenyeji wa mkutano marais wa kikanda kujadili M23

Kenya imekuwa mwenyeji wa mkutano marais wa kikanda kujadili M23

Kenya imekuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa Uganda, DRC, na Rwanda kujadili M23. Makundi ya vijana wa Rutshuru, Kivu Kaskzini, DRC yamtaka Rais Felix Tshisekedi kuepuka mazungumzo na M23. Wakili wa kujitegemea wa Tanzania Peter Madeleka amedaiwa kukamatwa na wanaodaiwa polisi. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa …

Read More »

#VOA. | Serikali ya Somalia na kampuni ya Marekani zinazozana juu ya mafuta

Serikali ya Somalia na kampuni ya Marekani zinazozana juu ya mafuta

Serikali ya Somalia na kampuni moja ya Marekani wako kwenye mzozo kuhusu uhalali wa makubaliano ya utafutaji mafuta yaliyofikiwa mwezi Februari mjini Istanbul. Abdirashid Mohamed Ahmed, waziri wa petrol na rasilimali za madini wa Somalia na Richard Anderson, afisa mkuu mtendaji wa Coastline Exploration Ltd, walitia saini makubaliano hayo. Lakini …

Read More »

#VOA. | Will Smith apigwa marufuku kushiriki Oscars kwa miaka 10

Will Smith, kulia, ampiga kibao cha usoni Chris Rock akiwa jukwaani katika sherehe za kukabidhi tuzo za Oscars, March 27, 2022, Los Angeles.(AP Photo/Chris Pizzello)

Will Smith amepigwa marufuku kushiriki katika Oscars and matukio mengine ya Academy kwa miaka 10 baada ya kumchapa kibao muigizaji na mchekeshaji Chris Rock wakati wa hafla ya Oscars. Academy of Motion Picture Arts and Science ambayo huandaa sherehe za kutoa tuzo, ilikuwa kwa njia ya mtanda Ijumaa kujadili hatua …

Read More »

#VOA. | Maandamano mapya yameibuka Sudan yanapinga mapinduzi ya kijeshi

Maandamano mapya yameibuka Sudan yanapinga mapinduzi ya kijeshi

Maelfu ya raia wa Sudan waliandamana katika mji mkuu wa Khartoum na miji mingine siku ya Jumatano katika maandamano mapya ya kupinga mapinduzi ya kijeshi ya Oktoba ambayo yaliitumbukiza nchi hiyo ya kiafrika katika machafuko ya kisiasa na kuzidisha matatizo yake ya kiuchumi. Ilikuwa ni juhudi za hivi karibuni za …

Read More »

#VOA. | Papa Francis awaenzi wanahabari waliouawa katika vita vya Ukraine.

Papa Francis awaenzi wanahabari waliouawa katika vita vya Ukraine.

Akizungumza na wanahabari akiwa ndani ya ndege akirejea kutoka Malta, Francis ameeleza kwa mara nyingine kwamba yuko tayari kufanya ziara katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, lakini akiongeza kuwa hajaamua iwapo hilo litawezekana. “Nataka kutoa rambirambi kwa wenzenu walioaga dunia, bila kujali upande wanakotokea,” amesema. “Kazi yenu ni kazi kwa …

Read More »

#VOA. | Waislamu waanza mwezi mtutufu wa Ramadhan

Waislamu waanza mwezi mtutufu wa Ramadhan

Mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa Waislamu umeanza leo Jumamosi, katika baadhi ya nchi kote duniani, huku maeneo mengine yakitarajia kuuanza mfungo huo, kesho Jumapili. Shirika la habari la AP linaripot kwamba, katika nchi nyingi kote duniani, wengi walikuwa na matumaini ya kuufunga mwezi huu wa Ramadhan kwa furaha hasa baada …

Read More »

#VOA. | Watu 45 wauawa katika mapigano ya kikabila Darfur nchini Sudan.

Watu 45 wauawa katika mapigano ya kikabila Darfur nchini Sudan.

Mapigano mapya yalizuka Jumanne kati ya Waafrika wa kabila la Fallata na kabila la Waarabu katika vijiji vilivyoko nje ya Nyala, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kusini, mashahidi walisema. “Watu 15 waliuawa katika mapigano kati ya kabila la Fallata na Rizeigat Jumanne, na 30 waliuawa Jumatano,” kamati ya usalama …

Read More »

#VOA. | Saudi Arabia na washirika wake watangaza sitisho la mapigano Yemen.

Saudi Arabia na washirika wake watangaza sitisho la mapigano Yemen.

Muungano wa ushirika unaoongozwa na Saudi Arabia ambao unaunga mkono serikali ya Yemen katika vita dhidi ya Wahuthi umetangaza Jumanne sitisho la mapigano kuanzia leo Jumatano asubuhi na mazungumzo ya amani wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao unaanza mwezi ujao. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA …

Read More »

#VOA. | Hotuba ya Biden yafafanuliwa; kubadilisha utawala Moscow siyo sera ya Marekani

Hotuba ya Biden yafafanuliwa; kubadilisha utawala Moscow siyo sera ya Marekani

Wizara ya Ulinzi ya Russia yadai majeshi yake yameshambulia miundobinu ya majeshi ya Ukraine, yakifanyika wakati Rais Biden akitoa hotuba nchini Poland na kuzua mjadala duniani kuhusu kubadilisha utawala Moscow, jambo lililoelezwa na maafisa wa serikali ya Marekani kuwa siyo sera ya Washington. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti …

Read More »

#VOA. | Chama tawala Nigeria kimefanya kongamano la kumchagua mwenyekiti mpya

Chama tawala Nigeria kimefanya kongamano la  kumchagua mwenyekiti mpya

Chama tawala nchini Nigeria kimefanya kongamano lake la kitaifa Jumamosi kumchagua mwenyekiti mpya na kuondokana na mizozo kabla ya kumchagua mgombea atakayechukua nafasi ya Rais Muhammadu Buhari katika uchaguzi ujao wa mwaka 2023. Mkutano wa Abuja unalenga kumaliza mabishano ya ndani ambayo Buhari alionya kuwa yanaweza kuharibu umoja wa chama …

Read More »

#VOA. | Biden akutana na wanajeshi wa Marekani Poland

Biden akutana na wanajeshi wa Marekani Poland

Rais wa Marekani Joe Biden amekutana na kuwasikiliza wanajeshi wa Marekani walio kwenye mpaka wa Poland na Ukraine katika juhudi za kutaka kufahamu zaidi kuhusu hali ya kibinadamu ya mamilioni ya wakimbizi wanaotoka Ukraine na kuingia Poland kutokana na uvamizi wa Russia. Biden amekutana na kikosi cha jeshi la Marekani …

Read More »

#VOA. | Mahakama nchini Uganda yatoa hati ya kumkamata mwandishi wa vitabu.

Mahakama nchini Uganda yatoa hati ya kumkamata mwandishi wa vitabu.

Kakwenza Rukirabashaija alikamatwa muda mfupi baada ya siku kuu ya Krismasi na kushtakiwa kwa mawasiliano ya kukera, kesi ambayo ilizusha wasiwasi katika jumuia ya kimataifa, huku Umoja wa Ulaya na Marekani wakiomba aachiliwe huru. Kakwenza alisema aliteswa wakati akizuiliwa kwa muda kwa kipindi cha mwezi mmoja na alitoroka nchi mwezi …

Read More »

#VOA. | Ukraine yaitaka Moscow kuchukulia mazungumzo ya amani kwa dhati

Ukraine yaitaka Moscow kuchukulia mazungumzo ya amani kwa dhati

Washington —  Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine kwa mara nyingine tena Jumamosi, ametoa wito kwa Moscow, “kuchukulia kwa dhati mazungumzo ya amani”, akisema “hiyo ndio nafasi pekee kwa Rashia kupunguza hasara kubwa iliofanya kutokana na makosa yake mwenyewe.” Pande zote mbili kwa hivi sasa zinaendelea na mazungumzo kupitia mtandao, lakini …

Read More »