Jamii

#ParsToday. | Muhammad Islami: Waliojitoa JCPOA hawana haki ya kuzungumzia miradi ya nyuklia ya Iran

Muhammad Islami: Waliojitoa JCPOA hawana haki ya kuzungumzia miradi ya nyuklia ya Iran

Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, waliojitoa katika makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA hawana haki ya kuzungumzia na kueleza mitazamo yao kuhusiana na miradi ya nyuklia ya Tehran. Muhammad Islami amesema hayo pambizoni mwa kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa kuuawa shahidi Mohsen …

Read More »

#PoliticoCD. | Marche bloc patriotique : Gentiny Ngobila donne son aval et dtermine deux itinraires | Politico.cd

Marche bloc patriotique : Gentiny Ngobila donne son aval et dtermine deux itinraires | Politico.cd

– Publicit- Aprs la sance de travail qu’il a eu ce vendredi 26 novembre 2021 avec les reprsentants du MILAPRO et CALCC, le Gouverneur de la ville de Kinshasa, Gentiny Ngobila a autoris la marche pacifique du mouvement dit Bloc patriotique contre la politisation de la commission lectorale nationale indpendante …

Read More »

#ParsToday. | Marekani yatakiwa kufutilia mbali vikwazo dhidi ya Iran na kutoingiza siasa katika mapatano ya JCPOA

Marekani yatakiwa kufutilia mbali vikwazo dhidi ya Iran na kutoingiza siasa katika mapatano ya JCPOA

Mkuu wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ameitaka Washington kufutilia mbali vikwazo vyote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na pia kutoa dhamana kwamba serikali za baadaye za Marekani hazitakiuka na kupuuza mapatano ya kimataifa ya nyuklia yaliyofikiwa mwaka 2015 kati ya Iran na madola mengine makubwa …

Read More »

#ParsToday. | Watu watano waaga dunia katika mlipuko wa bomu karibu na shule huko Mogadishu

Watu watano waaga dunia katika mlipuko wa bomu karibu na shule huko Mogadishu

Watu watano wameuawa na wengine zaidi ya 12 wamejeruhiwa hii leo katika mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na shule moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu. Mohamed Abdillahi afisa usalama mjini Mogadishu ameeleza kuwa, hadi sasa wamethibitisha kuaga dunia watu 5 na 15 kujeruhiwa katika mlipuko …

Read More »

#PoliticoCD. | RDC: “N’importe quel candidat sera battu par le Prsident Flix Tshisekedi en 2023” (Steve Mbuyi) | Politico.cd

RDC: "N'importe quel candidat sera battu par le Prsident Flix Tshisekedi en 2023" (Steve Mbuyi) | Politico.cd

– Publicit- N’importe quel candidat sera battu par le Prsident Flix Tshisekedi en 2023, cette affirmation, elle est de Steve Mbuyi, Prsident de l’Asbl Tshisekedi Horizon 2023 (TH2023). Elle fait suite une toute affirmation oppose du Professeur Gabriel Banza Malale qui, dans une interview accorde POLITICO.CD soutenait que l’actuel Chef …

Read More »

#ParsToday. | Mashauriano ya Grossi Tehran; Iran yadhamiria kufuatilia miradi yake ya nyuklia

Mashauriano ya Grossi Tehran; Iran yadhamiria kufuatilia miradi yake ya nyuklia

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ambaye juzi alifanya ziara hapa Tehran jana Jumanne alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran kuhusu kuendeleza ushirikiano kati ya pande mbili. Muhammad Eslami Mkuu wa Shirika la …

Read More »

#ParsToday. | Raisi: Kuna udharura kwa jamii ya mwanadamu hii leo kumtilia maanani Mwenyezi Mungu na umaanawi

Raisi: Kuna udharura kwa jamii ya mwanadamu hii leo kumtilia maanani Mwenyezi Mungu na umaanawi

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kutoa mazingatio kwa Mola Muumba na suala la umanaawi ni jambo la udharura mkubwa hii leo kwa jamii ya mwanadamu. Rais Sayyid Ebrahim Raisi amesisitiza leo Jumanne wakati akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Andeji Yusovic Balozi Mpya wa Vatican hapa Tehran …

Read More »

#PoliticoCD. | RDC : Flicit Zaninka rclame justice contre Strategos Medical Solution de Luc-Gerard Nyafe | Politico.cd

RDC : Flicit Zaninka rclame justice contre Strategos Medical Solution de  Luc-Gerard Nyafe  | Politico.cd

– Publicit- Mre de trois (3) enfants,Mme Flicit Zaninka Bweli, ex-employe de l’institution mdicale Strategos Medical Solution (SMS), rclame que justice soit faite contre cette dernire. Dans une confidence faite la rdaction de POLITICO.CD ce mardi 23 novembre, Mme Flicit Zaninka, a fait savoir que Strategos Medical Solution qui appartient, …

Read More »

#ParsToday. | Covid-19; Wasiochanja kutopewa huduma muhimu za serikali Kenya

Covid-19; Wasiochanja kutopewa huduma muhimu za serikali Kenya

Wananchi wa Kenya ambao hawajapiga dozi kamili ya chanjo ya Covid-19 watanyimwa hudumu muhimu zinazotolewa na taasisi za serikali ya nchi hiyo kuanzia mwezi ujao wa Disemba. Waziri wa Afya wa Kenya, Mutahi Kagwe amewaambia waandishi wa habari kuwa, serikali imeamua kuchukua maamuzi hayo magumu kwa lengo la kuwakinga Wakenya wote …

Read More »

#PoliticoCD. | Djugu: Des affrontements entre les rebelles de URDPC/ CODECO et du Zaire font 6 morts dans les localits de Mba et Jaibu | Politico.cd

Djugu: Des affrontements entre les rebelles de URDPC/ CODECO et du Zaire font 6 morts dans les localits de Mba et Jaibu | Politico.cd

– Publicit- Six personnes dont un enfant, ont t tues ce dimanche 21 novembre 2021 lors des affrontements qui ont oppos les combattants de URDPC/ CODECO et ceux de Zaire, dans les localits de Mba et Jaibu dans le groupement Jaiba, en territoire de Djugu. A en croire les sources …

Read More »

#ParsToday. | Jeshi la Majini la Iran limetoa vipigo 6 ndani ya miezi 18 dhidi ya Marekani

Jeshi la Majini la Iran limetoa vipigo 6 ndani ya miezi 18 dhidi ya Marekani

Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema jeshi hilo la Iran limetoa pigo mara sita dhidi ya Wamarekani katika Ghuba ya Uajemi katika kipindi cha miezi 18 iliyopita. Admeri Alireza Tangsiri amesema hayo katika mkutano wa wanafunzi mabasiji (wa kujitolea) wa Kiirani …

Read More »

#ParsToday. | Mufti wa Moscow: Katika maeneo ya umma zitatengwa sehemu za kusalia kwa ajili ya Waislamu

Mufti wa Moscow: Katika maeneo ya umma zitatengwa sehemu za kusalia kwa ajili ya Waislamu

Sheikh Ildar Hazrat Alyautdinov, Mufti wa mji mkuu wa Russia, Moscow ametangaza kuwa zitatengwa sehemu maalumu katika maeneo ya umma vikiwemo vituo vya treni ya chini ya ardhi, maeneo ya biashara, maduka makuu na mengineyo kwa ajili ya Waislamu ili kuwawezesha kutekeleza ibada yao ya Sala kwa wepesi. Mufti Alyautdinov …

Read More »

#PoliticoCD. | RDC : Prparatifs de la confrence sur la masculinit, Chantal Mulop change avec les chefs coutumiers | Politico.cd

RDC : Prparatifs de la confrence sur la masculinit, Chantal Mulop change avec les chefs coutumiers | Politico.cd

– Publicit- En marge de la Confrence sur la masculinit positive dont l’ouverture est prvue pour le 25 novembre prochain Kinshasa, la Conseillre spciale du Chef de l’Etat en charge de la Jeunesse et de la Lutte contre les violences faites la femme, Chantal Yelu Mulop s’est adresse aux chefs …

Read More »

#ParsToday. | Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Sahihi ya rais wa Marekani si ya kutegemewa

Araqchi: Kuondolewa vikwazo na Marekani ndio hatua ya kwanza ya kufufua JCPOA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, sharti la kukubaliwa Marekani kurudi kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kuondoa Washington kwa namna athirifu, itakayoweza kuthibitika na kwa wakati mmoja vikwazo vyote ilivyoiwekea Iran na kwamba sahihi ya rais wa Marekani haiwezi kutegemewa. Saeed Khatibzadeh ameyasema hayo …

Read More »

#ParsToday. | Alkhamisi tarehe 18 Novemba mwaka 2021

Alkhamisi tarehe 18 Novemba mwaka 2021

Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Rabiuthani 1443 Hijria sawa na Novemba 18 mwaka 2021.  Siku kama ya leo miaka 1311 iliyopita, yaani tarehe 12 Mfunguo Saba Rabiuthani mwaka 132 Hijria, Abul Abbas Abdullah bin Muhammad maarufu kwa jina la ‘Saffah’ alikalia kiti cha uongozi akiwa khalifa wa kwanza wa kizazi cha …

Read More »