“Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo cha kiongozi mkubwa Afrika, Daniel Toroitich arap Moi, rais wa pili wa Kenya. Raisi mstaafu amefariki katika Hospitali ya Nairobi mapema asubuhi ya leo Februari 4 akiwa na familia yake. Presidential Proclamation in respect to the death of His Excellency Daniel Toroitich arap Moihttps://t.co/mMetejrEJG— State …
Read More »