Ulimwengu

#ParsToday. | Wananchi wa Morocco wateketeza moto bendera za Israel katika maandamano

Wananchi wa Morocco wateketeza moto bendera za Israel katika maandamano

Wananchi wa Morocco waliokuwa na hasira wameteketeza moto bendera za utawala wa Kizayuni wa Israel mbele ya bunge la nchi hiyo katika maandamano ya kulaani hujuma ya utawala huo dhidi ya Gaza. Aidha wameteketeza moto bendera hizo za utawala wa Kizayuni kama njia ya kulaani hatua ya utawala wa Morocco …

Read More »

#ParsToday. | Raia Wapalestina 45 wameuawa shahidi katika siku 3 za hujuma za kikatili za Israeli huko Gaza

Raia Wapalestina 45 wameuawa shahidi katika siku 3 za hujuma za kikatili za Israeli huko Gaza

Siku tatu za mashambulizi ya utawala haramu wa Israel huko Gaza yamesababisha vifo vya raia Wapalestina 45 wakiwemo watoto 15 na wanawake wanne huku wengine 360 wakijeruhiwa Hayo yameripotiwa baada ya mapatano ya usitishaji vita kutangazwa kuanzia saa tano usiku jana Jumapili kwa saa za Gaza (20:30 GMT). Tangu Ijumaa, …

Read More »

#ParsToday. | Wananchi wa Iran washiriki katika Tasua ya Imam Hussein AS

Wananchi wa Iran washiriki katika Tasua ya Imam Hussein AS

Waislamu nchini Iran na maeneo mengine ya dunia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua. Katika shughuli hiyo ya Tasua ya kukumbuka misiba na masaibu yaliyomfika mjukuu wa Mtume wetu Muhammad SAW, Imam Hussein bin Ali AS, ndugu na mswahaba zake …

Read More »

#ParsToday. | Mapigano baina ya Taliban na ISIS nchini Afghanistan wakati wa Muharram

Mapigano baina ya Taliban na ISIS nchini Afghanistan wakati wa Muharram

Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imetangaza kuangamizwa magaidi watatu wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mapigano yaliyotokea kwenye eneo la Karte-Ye-Sakhi mjini Kabul. Msemaji wa kundi la Taliban amesema kuwa mapigano yaliyotokea kwenye eneo hilo la Karte-Ye-Sakhi katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, yalianza siku ya Jumatano …

Read More »

#ParsToday. | Hujjatul Islam Akbari: Imam Hussein aliarifisha wazo la ‘Muqawama’ kwa waumini

Hujjatul Islam Akbari: Imam Hussein aliarifisha wazo la 'Muqawama' kwa waumini

Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema Imam Hussein (AS) aliarifsha hoja ya muqawama kwa waumini wote wa Kiislamu, na kwamba mapambano ndiyo njia pekee ya kupata mafanikio. Hujjatul Islam Haj Ali Akbari amesema hayo katika hotuba za Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa Tehran na kubainisha kuwa, “Kile ambacho …

Read More »

#ParsToday. | Ujumbe wa Iran wawasili Vienna, mazungumzo ya uondoaji vikwazo yaanza

Ujumbe wa Iran wawasili Vienna, mazungumzo ya uondoaji vikwazo yaanza

Ujumbe wa Iran umewasili mjini Vienna kwa ajili ya duru mpya ya mazungumzo ya uondoaji vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ambayo imepangwa kuanza leo. Ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ukiongozwa na mkuu wa timu ya mazungumzo Ali Baqeri Kani uliwasili katika mji mkuu wa Austria Vienna leo asubuhi kwa …

Read More »

#ParsToday. | Mjukuu wa Mandela: Mapinduzi ya Kiislamu yameipa ilhamu Afrika Kusini

Mjukuu wa Mandela: Mapinduzi ya Kiislamu yameipa ilhamu Afrika Kusini

Mjukuu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatoa ilhamu na motisha kwa taifa hilo la kusini mwa Afrika. Mandla Mandela ambaye yuko hapa Tehran kwa ajili ya kupokea Tuzo ya Haki za Binadamu za Kiislamu amesema hayo katika mazungumzo yake na …

Read More »

#ParsToday. | Mahakama ya ICC yashindwa kuchunguza uhalifu wa kivita nchini Afghanistan

Mahakama ya ICC yashindwa kuchunguza uhalifu wa kivita nchini Afghanistan

Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) bado wanasitasita kuhusu suala la kuendeleza uchunguzi wa uhalifu wa kivita uliofanyika nchini Afghanistan. Kabla ya kundi la Taliban kutwaa tena madarakani nchini Afghanistan mwaka jana, jambo lililozingatiwa zaidi na majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai lilikuwa uchunguzi wa uhalifu wa …

Read More »

#ParsToday. | Mapigano yazuka baina ya askari wa mpakani wa Iran na wapiganaji wa Taliban

Mapigano yazuka baina ya askari wa mpakani wa Iran na wapiganaji wa Taliban

Gavana wa mji wa Hirmand ulioko kaskazini ya mkoa wa Sistan na Baluchistan kusini mashariki mwa Iran amesema, yamezuka mapigano kati ya askari wa kikosi cha mpakani cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wapiganaji wa kundi la Taliban la Afghanistan. Meysam Barazandeh, Gavana wa mji wa Hirmand ulioko mkoani Sistan na …

Read More »

#ParsToday. | Kuendelea ushirikiano wa kiuchumi wa kundi la D-8 katika kikao cha Dhaka

Kuendelea ushirikiano wa kiuchumi wa kundi la D-8 katika kikao cha Dhaka

Duru nyingne ya mkutano wa kundi la nchi nane za Kiislamu zilizostawi kiuchumi yaani D-8 imefanyika huku Bangladesh ikiwa mwenyeji wa mkutano huo. Bangladesh imekabidhiwa duru ya uwenyekiti wa kundi la D-8 katika mkutano uliofanyika kwa njia ya intaneti katika mji mkuu wa nchi hiyo Dhaka. Jamhuri ya Kiislamu ya …

Read More »

#ParsToday. | Ayatullah Khatami: Wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta zote wakiwa na Hijabu ya Kiislamu

Ayatullah Khatami: Wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta zote wakiwa na Hijabu ya Kiislamu

Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta za kielimu, kisiasa, kiuchumi na usimamizi huku wakiwa wanazingatia Hijabu, vazi la staha la Kiislamu. Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami, Khatibu na Imamu wa Muda wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran ameashiria kadhia ya …

Read More »

#ParsToday. | Canada yasema: Kuomba msamaha kwa Papa hakutoshi

Canada yasema: Kuomba msamaha kwa Papa hakutoshi

Serikali ya Canada imeashiria matukio ya miaka ya nyuma na kashfa za viongozi wa Kanisa Katoliki za kuwabaka na kuwanajisi watoto wadogo na kutangaza kuwa: Hatua ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis ya kuomba msamaha kwa vitendo hivyo viovu haitoshi.  kugunduliwa makaburi ya halaiki na miili ya mamia ya …

Read More »

#ParsToday. | WFP yatahadharisha kuhusu ongezeko la ukosefu wa usalama wa chakula Amerika ya Latini

WFP yatahadharisha kuhusu ongezeko la ukosefu wa usalama wa chakula Amerika ya Latini

Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umetahadharisha kuhusu kuongezeka ukosefu wa usalama wa chakula huko Amerika ya Latini kutokana na maambukizi ya COVID-19, vita vya Ukraine na mabadiliko ya tabianchi. Kupanda kwa bei za bidhaa za chakula  kumekuwa na athari za moja kwa moja kwa ongezeko la ukosefu wa usalama wa …

Read More »

#ParsToday. | Jumatano tarehe 27 Julai 2022

Jumatano tarehe 27 Julai 2022

Leo ni Jumatano tarehe 27 Dhulhija 1443 Hijria sawa na Julai 27 mwaka 2022. Katika siku kama hii ya leo tarehe 27 Dhulhija miaka 752 iliyopita alifariki dunia Sheikh Muslihuddeen Saadi Shirazi malenga, mshairi na mwalimu stadi wa tungo za mashairi na nathari wa Kirani. Saadi Shirazi alizaliwa karibu mwaka 606 …

Read More »

#ParsToday. | Kuanza tena safari za Bin Salman katika nchi za Magharibi baada ya kusimama kwa miaka 4

Kuanza tena safari za Bin Salman katika nchi za Magharibi baada ya kusimama kwa miaka 4

Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anatazamiwa kuondoka nchini humo leo Jumanne kwa ajili ya kufanya safari katika nchi za Ugiriki na Cyprus. Imepita miaka 7 tangu Mohammed bin Salman aingie kwenye ngazi za juu za muundo wa mamlaka ya Saudi Arabia. Tangu 2015, Bin …

Read More »