Ulimwengu

#ParsToday. | Afisa wa Hamas: Ukingo wa Magharibi umekuwa kitovu cha muqawama

Afisa wa Hamas: Ukingo wa Magharibi umekuwa kitovu cha muqawama

Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mji wa Jenin vimekuwa hifadhi na nguzo ya muqawama. Vijana na makundi ya muqawama ya Palestina yametangaza mara kadhaa kuwa, mapambano baina yao na utawala haramu wa Israel unaoikalia Quds kwa …

Read More »

#ParsToday. | Russia: Hatutaanza kupeleka tena gesi Ulaya mpaka vikwazo viondolewe

Russia: Hatutaanza kupeleka tena gesi Ulaya mpaka vikwazo viondolewe

Russia imetangaza kuwa usambazaji gesi ya nchi hiyo kwenda Ulaya hautaanza tena hadi vikwazo ilivyowekewa vitakapoondolewa. Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema, vikwazo vya Magharibi ndio sababu pekee ya uamuzi wa Russia kufunga bomba la Nord Stream 1. Awali Moscow ilisema imelifunga bomba hilo linalosambaza gesi Ulaya kwa sababu za matengenezo. …

Read More »

#ParsToday. | Amir Abdollahian: Usalama wa Yemen una athari ya moja kwa moja katika usalama wa Ghuba ya Uajemi

Amir Abdollahian: Usalama wa Yemen una athari ya moja kwa moja katika usalama wa Ghuba ya Uajemi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir Abdollahian amesema katika mazungumzo yake na Hans Grundberg, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen kwamba usalama wa Yemen una taathira za moja kwa moja katika amani na usalama wa eneo na Ghuba ya Uajemi. …

Read More »

#ParsToday. | Wazayuni wazidisha jinai, waua shahidi makumi ya Wapalestina katika mwezi mmoja

Wazayuni wazidisha jinai, waua shahidi makumi ya Wapalestina katika mwezi mmoja

Takwimu zilizotolewa na vyombo vya habari vya Palestina zinaonesha kuwa utawala wa Kizayuni umeshadidisha jinai zake dhidi ya wananchi wasio na hatia kiasi kwamba katika mwezi mmoja tu ulioisha wa Agosti, Israel imeua shahidi Wapalestina 59 katika Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Tovuti ya Arab24 …

Read More »

#ParsToday. | Mgogoro wa Ukraine: Russia yaionya Marekani itatumia silaha za nyuklia

Mgogoro wa Ukraine: Russia yaionya Marekani itatumia silaha za nyuklia

Mwanadiplomasia mwandamizi wa Russia ameionya Marekani dhidi ya kuipatia Ukraine silaha za masafa marefu, akisema kuwa Moscow imeazimia kutumia silaha za nyuklia iwapo kuwepo kwake kutatishiwa. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Ryabkov alisema: “Tumeionya Marekani mara kwa mara kuhusu madhara yanayoweza kutokea iwapo Marekani itaendelea kuimiminia …

Read More »

#ParsToday. | Iran: Matukio ya karibuni ya Ukraine ni matunda ya uingiliaji wa Marekani

Iran: Matukio ya karibuni ya Ukraine ni matunda ya uingiliaji wa Marekani

Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi zinataka kutekeleza siasa zao za kibeberu katika maeneo yote hassasi na ya kiistratijia duniani na kwamba matukio ya Ukraine ni matunda ya mtazamo huo wa kiistikbari wa Magharibi. Shirika la habari la FARS limemnukuu Brigedia Jenerali Mohammad-Reza Gharaei Ashtiani akisema …

Read More »

#ParsToday. | Meja Jenerali Salami: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu vitisho vya maadui

Meja Jenerali Salami: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu vitisho vya maadui

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema mafanikio ya sekta ya ulinzi ya Iran ni ya ajabu, yenye kuonyesha nguvu na yenye uwezo wa kumzuia adui huku akisisitiza kuwa: “Vikosi vya kijeshi vya Iran viko tayari kujibu vitisho vya adui.” Meja Jenerali Hossein Salami, Kamanda …

Read More »

#ParsToday. | Sheikh Issa Qassim: Kujengwa kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi Manama ni jinai

Sheikh Issa Qassim: Kujengwa kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi Manama ni jinai

Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amekosoa viikali uamuzi wa utawala wa Aal Khalifa wa kuanzisha kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi katika mji mkuu Manama na kueleza kwamba, hatua hiyo ni jinai na dhulma ya wazi dhidi ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu. Sheikh Issa Qassim, kiongozi wa kimaanawi …

Read More »

#ParsToday. | Muqtada Sadr na machafuko ya Iraq

Muqtada Sadr na machafuko ya Iraq

Jumapili ya jana tarehe 29 Agosti Iraq Jumapili ilishuhudia sokomoko na matukio ambayo kimsingi yalitabiriwa kutokea. Wimbi la machafuko hayo lilienea huku chanzo na chimbuko lake likiwa ni mwenendo wa kisiasa wa Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya Iraq. Jumapili ya jana Ayatullah Hairi Marjaa Taqlidi wa Kishia ambaye …

Read More »

#ParsToday. | Kushadidi mgogoro nchini Libya kwa kuanza tena vita na mapigano makali

Kushadidi mgogoro nchini Libya kwa kuanza tena vita na mapigano makali

Kufuatia kushadidi mzozo wa kisiasa nchini Libya kati ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoongozwa na Abdul Hamid al-Dbeibeh na serikali mpya iliyopewa mamlaka na Bunge inayoongozwa na Fathi Bashagha, mapigano yameanza upya kati ya vikosi vya pande hizo mbili katika mji mkuu Tripoli. Hadi sasa watu wasiopungua 23 wameuawa …

Read More »

#ParsToday. | Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria

Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria

Kufuatia kuendelea mvutano kati ya Ufaransa na Algeria, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameitembelea nchi hiyo ya Kiafrika kwa lengo la kuboresha uhusiano ulioharibika na kufungua “ukurasa mpya” katika uhusiano wa pande mbili. Safari ya Macron nchini Algeria imefanyika baada ya kuongezeka mvutano wa kisiasa kati ya nchi hizo kutokana …

Read More »

#ParsToday. | Takwa la Umoja wa Mataifa la kuungwa mkono wakimbizi Waislamu wa Rohingya

Takwa la Umoja wa Mataifa la kuungwa mkono wakimbizi Waislamu wa Rohingya

Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwasaidia kwa hali na mali wakimbizi Waislamu wa Rohingya walioko nchini Bangladesh. Noeleen Heyzer alitoa mwito huo Alkhamisi usiku katika siku ya nne ya safari yake ya kuitembelea Bangladesh na kusisitiza kuwa, Wabangladesh wameendelea kuwa …

Read More »

#ParsToday. | Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran haitalegeza msimamo mbele ya adui

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran haitalegeza msimamo mbele ya adui

Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia katu haitalegeza msimamo mbele ya adui ili taifa hili liondolewe vikwazo vya kidhalimu vya Marekani. Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami amesema hayo leo mbele ya hadhara ya waumini waliohudhuria ibada ya kisiasa …

Read More »

#ParsToday. | White House yakataa kuzungumza na Israel kuhusu JCPOA

White House yakataa kuzungumza na Israel kuhusu JCPOA

Ikulu ya White House ya Marekani imeripotiwa kulipiga na chini ombi la Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel la kufanya mazungumzo ya simu ‘ya dharura’ na Rais Joe Biden, kuhusu mazungumzo yaliyko katika hatua za mwisho ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA. Kanali ya 13 ya …

Read More »

#ParsToday. | Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ameelekea nchini Tanzania baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi katika nchi ya Mali ya Magharibi mwa Afrika. Hiyo ni ziara rasmi ya kwanza ya Hossein Amir-Abdollahian barani Afrika tangu ateuliwe kuwa Waziri wa Mambo ya Nje …

Read More »