Ulimwengu

#ParsToday. | Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awasali nchini Mali na kuonana na wenyeji wake

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awasali nchini Mali na kuonana na wenyeji wake

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anaendelea na ziara yake ya kuzitembelea nchi za Afrika na tayari ameanza mazungumzo na viongozi wa Mali akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Hossein Amir-Abdollahian ameandamana na ujumbe wa ngazi za juu …

Read More »

#ParsToday. | Iran: Hatujapokea jibu la US kuhusu mapendekezo ya Ulaya

Iran: Hatujapokea jibu la US kuhusu mapendekezo ya Ulaya

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijapokea majibu kutoka kwa Marekani juu ya mapendekezo yaliyotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Nasser Kan’ani amesema hayo leo Jumatatu hapa mjini Tehran katika kikao cha kila wiki na waandishi wa habari …

Read More »

#ParsToday. | Janga la mafuriko Sudan: Walioaga dunia waongezeka; tahadhari yatolewa

Janga la mafuriko Sudan: Walioaga dunia waongezeka; tahadhari yatolewa

Idadi ya walioaga dunia kwa janga la mafuriko nchini Sudan imeongezeka na kufikia watu 75. Hayo yameelezwa na Baraza la Ulinzi wa Raia la Sudan ambalo limebainisha kwamba, mvua kali zilizoambatana na mafuriko zimesababisha kuongezeka wahanga wa janga la mafuriko nchini humo. Mkoa wa Kordofan Kaskazini unaongoza kwa idadi ya …

Read More »

#ParsToday. | Marandi: Moja ya malengo ya mazungumzo ya Vienna ni kuifanya Marekani ielewe madhara ya kujitoa JCPOA

Amir-Abdollahian: Ikiwa Marekani itazingatia uhalisia wa mambo tutafikia mwafaka mzuri

Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, moja ya malengo ya mazungumzo hayo ni kuifanya Marekani itambue madhara makubwa ya kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA ili jambo hilo lisirudiwe tena. Mohammad Marandi, amesema hayo katika mahojiano na televisheni ya al Jazeera ya …

Read More »

#ParsToday. | Marekani inaiba 80% ya mafuta yanayozalishwa Syria kila siku

Marekani inaiba 80% ya mafuta yanayozalishwa Syria kila siku

Marekani inapora asilimia 80 ya mafuta yanayozalishwa kwa siku nchini Syria. Wizara ya Mafuta ya Syria imesema vikosi vamizi vya Marekani vinaiba mapipa 66,000 za mafuta ghafi kwa siku katika nchi hiyo ya Kiarabu. Kwa mujibu wa wizara hiyo, kiwango hicho kinachoibiwa na wanajeshi vamizi wa Marekani katika nch hiyo …

Read More »

#ParsToday. | Satalaiti ya Iran ya Khayyam yarushwa katika anga za mbali kwa kutumia roketi la Russia

Satalaiti ya Iran ya Khayyam yarushwa katika anga za mbali kwa kutumia roketi la Russia

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika. Satalaiti ya Iran ya Khayyam imerushwa katika anga za mbali kwa kutumia roketi la Russia la …

Read More »

#ParsToday. | Onyo la Russia kuhusu uwezekano wa kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Marekani

Onyo la Russia kuhusu uwezekano wa kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Marekani

Kutokana na Marekani kuendeleza sera za uhasama dhidi ya Russia na vitisho ilivyotoa vya kuitangaza Russia nchi inayofadhili na kuunga mkono ugaidi, Moscow imeonya kuwa, kuchukuliwa uamuzi huo kutaufikisha uhusiano wa pande mbili kwenye nukta isiyorudishika nyuma na kuna uwezekano hata wa kuvunjika uhusiano wa kidiplomasia baina ya Russia na …

Read More »

#ParsToday. | Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu kuinuliwa hadhi ya Harakati ya Jihad Islami

Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu kuinuliwa hadhi ya Harakati ya Jihad Islami

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu barua ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na kusema, “mapambano (muqawama) ya kishujaa ya Jihad Islami yatapelekea kupanda hadhi ya harakati hiyo katika mapambano sambamba na kusambaratisha hadaa za utawala wa Kizayuni na kuufedhehesha utawala huo.” Ayatullah Sayyid Ali …

Read More »

#ParsToday. | Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran alaani kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu Ujerumani

Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran alaani kuvunjiwa  heshima Qur'ani Tukufu Ujerumani

Vyuo vya Kiislamu nchini Iran vimelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu huko Hamburg, Ujerumani. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRIB, Ayatollah Alireza Arafi, Mkurugenzi wa Vyuo vya Kiislamu kote Iran, ametoa taarifa na kusema: “Katika siku za maombolezo ya kiongozi wa mashahidi  Aba Abdillah al-Hussein, amani iwe …

Read More »

#ParsToday. | Oman haitafuata nyayo za Saudia za kuruhusu ndege za Israel zitumie anga yake

Oman haitafuata nyayo za Saudia za kuruhusu ndege za Israel zitumie anga yake

Oman imeripotiwa kukataa kuruhusu ndege za utawala wa haramu wa Israel kuruka katika anga yake, ikionekana kujiepusha kufuata nyayo za Saudi Arabia za kujikurubisha wazi wazi na utawala huo haramu. Televisheni ya RT iliripoti Jumatano kwamba Oman bado haijatoa ridhaa yake ya kufungua anga zake kwa mashirika ya ndege ya …

Read More »

#ParsToday. | Raisi: Kuzinduliwa satalaiti ya Khayyam ni fahari kwa Iran

Raisi: Kuzinduliwa satalaiti ya Khayyam ni fahari kwa Iran

Rais wa Iran amesema kurushwa katika anga za mbali kwa mafanikio satalaiti ya Iran ya Khayyam ni chemichemi ya fahari na nguvu za Jamhuri ya Kiislamu. Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema hayo mapema leo Jumatano katika kikao cha Baraza la Mawaziri na kuongeza kuwa, karibuni hivi taifa hili litashuhudia …

Read More »

#ParsToday. | Wananchi wa Morocco wateketeza moto bendera za Israel katika maandamano

Wananchi wa Morocco wateketeza moto bendera za Israel katika maandamano

Wananchi wa Morocco waliokuwa na hasira wameteketeza moto bendera za utawala wa Kizayuni wa Israel mbele ya bunge la nchi hiyo katika maandamano ya kulaani hujuma ya utawala huo dhidi ya Gaza. Aidha wameteketeza moto bendera hizo za utawala wa Kizayuni kama njia ya kulaani hatua ya utawala wa Morocco …

Read More »

#ParsToday. | Raia Wapalestina 45 wameuawa shahidi katika siku 3 za hujuma za kikatili za Israeli huko Gaza

Raia Wapalestina 45 wameuawa shahidi katika siku 3 za hujuma za kikatili za Israeli huko Gaza

Siku tatu za mashambulizi ya utawala haramu wa Israel huko Gaza yamesababisha vifo vya raia Wapalestina 45 wakiwemo watoto 15 na wanawake wanne huku wengine 360 wakijeruhiwa Hayo yameripotiwa baada ya mapatano ya usitishaji vita kutangazwa kuanzia saa tano usiku jana Jumapili kwa saa za Gaza (20:30 GMT). Tangu Ijumaa, …

Read More »

#ParsToday. | Wananchi wa Iran washiriki katika Tasua ya Imam Hussein AS

Wananchi wa Iran washiriki katika Tasua ya Imam Hussein AS

Waislamu nchini Iran na maeneo mengine ya dunia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua. Katika shughuli hiyo ya Tasua ya kukumbuka misiba na masaibu yaliyomfika mjukuu wa Mtume wetu Muhammad SAW, Imam Hussein bin Ali AS, ndugu na mswahaba zake …

Read More »

#ParsToday. | Mapigano baina ya Taliban na ISIS nchini Afghanistan wakati wa Muharram

Mapigano baina ya Taliban na ISIS nchini Afghanistan wakati wa Muharram

Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imetangaza kuangamizwa magaidi watatu wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mapigano yaliyotokea kwenye eneo la Karte-Ye-Sakhi mjini Kabul. Msemaji wa kundi la Taliban amesema kuwa mapigano yaliyotokea kwenye eneo hilo la Karte-Ye-Sakhi katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, yalianza siku ya Jumatano …

Read More »