Ulimwengu

#ParsToday. | Somalia inahitaji msaada kulisha watu milioni 2.7 wanaokabiliwa na njaa

Somalia inahitaji msaada kulisha watu milioni 2.7 wanaokabiliwa na njaa

Serikali ya Somalia imetoa wito wa msaada wa dharura wa kimataifa ili kusaidia watu milioni 2.7 wanaokabiliwa na uhaba wa chakula kutokana na ukame mkali nchini humo. Waziri wa Masuala ya Binadamu na Usimamizi wa Majanga nchini humo Bi. Khadija Mohamed Diriye amesema, athari za mafuriko, uvamizi wa nzige wa …

Read More »

#ParsToday. | Viongozi wa Afrika wamlilia hayati Magufuli Dodoma; Kenyatta asimamisha hotuba kwa kusikia adhana

Viongozi wa Afrika wamlilia hayati Magufuli Dodoma; Kenyatta asimamisha hotuba kwa kusikia adhana

Viongozi na marais kutoka nchi 17 duniani hususan za Afrika wamehudhuria shughuli ya kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli iliyofanyika leo Jumatatu katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi amesema hayati John Magufuli alikuwa …

Read More »

#ParsToday. | Rais Rouhani: 1400; mwaka wa ustawi wa kiuchumi Iran na mwisho wa kipindi kizito cha vita vya kiuchumi

Rais Rouhani: 1400; mwaka wa ustawi wa kiuchumi Iran na mwisho wa kipindi kizito cha vita vya kiuchumi

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ni jambo lisilo na shaka kwamba mwaka 1400 Hijria Shamsia utakuwa mwanzo wa ustawi mpya wa kiuchumu humu nchini na kuanza kuzaa matunda muqawama wa miaka mitatu wa taifa katika vita vya kiuchumi tulivyotwishwa na adui. Rais Rouhani amesema hayo leo …

Read More »

#ParsToday. | Kiongozi Muadhamu: 1400 Hijria Shamsia ni mwaka wa

Kiongozi Muadhamu: 1400 Hijria Shamsia ni mwaka wa

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuingia leo mwaka wa Kiirani wa 1400 wa Hijria Shamsia na mbali na kutoa mkono wa baraka za mwaka huo mpya wa Nairuzi amesema: Mwa huu ni wa uzalishaji, uwezeshaji na uondoaji mikwamo na vizuizi. Ayatullah Sayyid Ali …

Read More »

#ParsToday. | Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa rais wa kwanza mwanamke Tanzania na Afrika Mashariki

Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa rais wa kwanza mwanamke Tanzania na Afrika Mashariki

Samia Suluhu Hassan, leo ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kufuatia kifo cha rais wa nchi hiyo John Pombe Magufuli kilichotokea siku ya Jumatano. Baada ya kuapishwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa rais mpya wa Tanzania katika shughuli iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, kiongozi huyo alihutubia …

Read More »

#ParsToday. | Uingiliaji wa aina tofauti wa Marekani katika masuala ya ndani ya Yemen

Uingiliaji wa aina tofauti wa Marekani katika masuala ya ndani ya Yemen

Jumanne ya tarehe 16 Machi, Idara ya Kiitikadi ya Vikosi vya Ulinzi vya Yemen ilitoa nyaraka mpya zinazobainisha juu ya uwepo wa kijeshi wa Marekani na vituo vya kijeshi vya Washington huko nchini Yemen na pamoja na uhusiano wa serikali ya wakati huo ya Ali Abdullah Saleh na mashirika ya …

Read More »

#ParsToday. | Umoja wa Mataifa: Yemen inakabiliwa na maafa makubwa zaidi ya kibinadamu ulimwenguni

Umoja wa Mataifa: Yemen inakabiliwa na maafa makubwa zaidi ya kibinadamu ulimwenguni

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen amesema kuwa, nchi ya Yemen inakabiliiwa na maafa makubwa zaidi ya kibinadamu ulimwenguni. Martin Griffiths, amesisitiza kuwa, wananchi wa Yemen wanakabiliwa na ukame mkubwa na kwamba, kuna haja ya kuchukuliwa hatua za haraka za kuwasaidia wananchi hao. Martin Griffiths ameliambia …

Read More »

#ParsToday. | Kuapishwa Serikali ya Muda ya Libya, na changamoto zilizoko mbele yake

Kuapishwa Serikali ya Muda ya Libya, na changamoto zilizoko mbele yake

Hatimaye baada ya miezi kadhaa ya mivutano na kuainisha hatima ya siasa za Libya, Mawaziri wa Serikali ya Muda ya Umoja wa Kitaifa waliapishwa jana Jumatatu katika Bunge la nchi hiyo huko katika mji wa Tobruk. Aguilla Saleh Issa, Spika wa Bunge la Libya amesema kuwa, kufanyika hafla ya kuapishwa …

Read More »

#ParsToday. | Uganda: Polisi yakabiliana na waandamanaji; kiongozi wa upinzani Bobi Wine akamatwa tena

Uganda: Polisi yakabiliana na waandamanaji; kiongozi wa upinzani Bobi Wine akamatwa tena

Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda ambaye pia alikuwa mgombea urais wa chama cha upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, amekamatwa tena leo katika mji mkuu wa nchi hiyo Kampala. Bobi Wine alikamatwa wakati alipokuwa akiongoza timu ya wabunge kutoka chama chake cha NUP, kufanya maandamano dhidi ya kukamatwa na …

Read More »

#ParsToday. | Iran imefanikiwa kukabiliana na janga la corona pamoja na kuwepo vikwazo

Iran imefanikiwa kukabiliana na janga la corona pamoja na kuwepo vikwazo

Waziri wa Afya wa Iran Daktari Saeed Namaki amesema pamoja na kuwa nchi hii imewekewa vikwazo na iko chini ya mashinikizo ya kiuchumi lakini imefanikiwa kukabiliana na janga la corona au COVID-19. Akizungumza leo wakati wa kuzinduliwa hospitali ya muda ya Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa …

Read More »

#ParsToday. | Israel kubomoa nyumba zote za Wapalestina zilizoko jirani na Msikiti wa al-Aqswa

EU yapinga bomoabomoa ya nyumba za raia wa Palestina inayofanywa na Israel

Utawala haramu wa Israel umeazimia kubomoa nyumba zote za Wapalestina za kitongoji cha al-Bustan kilichoko jirani na Msikiti wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu. Hayo yameelezwa na Kamati ya Kutetea Vitongoji vya Silwan na al-Bustan ambayo imebainisha pia kwamba, Meya wa mji huo unaokaliwa kwa mabavu na Israel amebatilisha makubaliano …

Read More »

#ParsToday. | Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (21)

Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (21)

Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni katika sehemu nyingine mfululizo huu wa Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambao huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao. Vipindi vyetu viwili vilivyotangulia vilimzungumzia Khajeh Nasir al-Din Tusi mmoja wa wanazuoni …

Read More »

#ParsToday. | Kiongozi Muadhamu: Mabath ni sikukuu ya wapigania uadilifu kote ulimwenguni

Kiongozi Muadhamu: Mabath ni sikukuu ya wapigania uadilifu kote ulimwenguni

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, sikukuu kubwa ya Mabath na kumbukumbu ya kubaathiwa na kupewa Utume Mtume Muhammad SAW ni ya wapigania uadilifu kote ulimwenguni. Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema hayo leo kwa mnasaba wa sikukuu ya Mab’ath na kubaathiwa Mtume SAW na kubainisha kwamba, katika siku …

Read More »

#ParsToday. | Alkhamisi tarehe 11 Machi 2021

Alkhamisi tarehe 11 Machi 2021

Leo ni Alkhamisi tarehe 27 Rajab 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 11 Mchi mwaka 2021. Siku kama ya leo miaka 1455 iliyopita, Mtume Mtukufu wa Uislamu Muhammad Mustafa (s.a.w) alibaathiwa yaani kupewa Utume na Mwenyezi Mungu. Kipindi hicho Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na umri wa miaka 40. Mtume Muhammad (saw) alianza …

Read More »

#ParsToday. | Nukta kadhaa kuhusu safari ya Papa Francis huko Iraq

Nukta kadhaa kuhusu safari ya Papa Francis huko Iraq

Safari ya siku tatu ya Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani huko Iraq ambayo ilianza Ijumaa iliyopita imemalizika. Kuna umuhimu hapa wa kutaja nukta kadhaa kufuatia kumalizika safari hiyo tajwa. Nukta ya kwanza ni kuwa; Papa Francis hana mamlaka ya utekelezaji kuhusiana na maamuzi yanayohitajia dhamana ya utekelezaji. Kwa msingi huo, …

Read More »