Michezo

Aigle Noir C.S: Joslin Bipfubusa amekitangaza kikose cha wachezaji 11 watakao shuka dimbani dhidi ya Flambeau Du Centre.

Saa Moja peke ndio imesalia ili Aigle Noir ipambane na timu yake ya  Flambeau Du Centre, katika uwanja wa Ingoma kwenye majira ya saa saba mchana, Joslin Bipfubusa ambae ni mwalimu watimu hiyo amesha kitangaza kikosi cha wachezaji 11 ambao watako anza uwanjani dhidi ya Flambeau Du Centre kupitia ukurasa …

Read More »

Ratiba ya mechi katika wiki ya pili ya Primus Ligue Burundi.

Ligi la taifa inchini Burundi maarufu “Primus Ligue” litaendelea djumatano hiyi katika wiki yake ya pili ambapo mechi 8 ndizo ambazo zimeandaliwa kuchezwa kwenye viwanja vi tano vya hapa inchni navyo vikiwa ni Ingoma (Gitega), Urukundo (Ngozi), Ivyizigiro (Rumonge), Urunani (Cibitoke)  na Umuco (Muyinga). Ratika kamili ya mechi, sehemu, na saa …

Read More »

Matokeo ya wiki ya kwanza ya michuano ya Primus Ligue Burundi msimo 2018-2019.

Michuano ya Ligi la taifa inchini Burundi maarufu Primus Ligue limeanza kutimua vumbi rasmi katika msimo wake mpya wa  mwaka 2018-2019 tangu hiyi idjuma. Wiki hiyi ya kwanza imetamatika hiyi idjumapili na haya ni matokeo ya mechi 8 zilizo pigwa kwa ujumbla.                 …

Read More »

Rayon Sports: Ivan Minnaert na Etienne Karekezi wote hali kazalika, wanashutumiwa kutojua jisi ya kuishi na wachezaji.

Kocha mbeleji wa sasa wa timu pendwa inchini Rwanda, Rayon Sports, anashutumiwa kuto kujua jisi ya kuishi na wachezaji wa timu hiyo hata pia kocha alie mtangulia Etienne Karekezi nae pia anashutumia kua ni hali kadhalika na huyo mzungu. Ni madayi yake kiungo wa kati wa timu ya taifa intamba …

Read More »

Hussein Wello ameamua kuwaaga Olmpic Star kwa mfumo kama huyu hapa wakutia huruma.

Kocha Nahimana Hussaein Wello alie ifunza timu ya Olympic Star kwa miaka 6 ameamua kuachana rasmi na timu ya Olympic Star na huku akiwatakia mafanikio ya hapo baadae mema kwenye ujumbe alio utumia gazeti hili Hussein Welo alianza na kukumbusha mambo mengi kibao alio fanikiwa kuyafana akiwa na timu hiyo …

Read More »

Inter Stars: Timu 2 vigogo za haba inchini Burundi tayari zimesha anza kumkodolea macho HAKIZIMANA Hamimu.

                               Kuanzia kulia Mabano Shaban, Hakizimana Hamim na Ismail Kwizera Kiugo mshambuliaji wa timu ya Inter Stars, HAKIZIMANA Hamimu almaarufu “Hafidh”alie chaguliwa kama chipukizi bora wa mwaka kwenye ligi la Primus Ligue tayari amesha anza kukodolewa macho na vilabu bi wili vigogo hapa inchini Burundi licha ya timu yake ya Inter …

Read More »

#CECAFAU17.Karume boys wamefurushwa mashindanoni, Ethiopia wachezaji wake wa 3 kufukuzwa.

 Tume ya maandalizi ya michuano ya cecafa chini ya umbri wa miaka kumi na saba hiyi idjumapili imechukua uwamuzi wakuifurusha mashindanoni timu za taifa ile ya Zanzibar (Karume boys) na ile ya  ya taifa la Ethiopia.                            Vijana wa Karume boys, Zanzibar wakiwa mazowezini.   Michuano ya Cecafa kwa wale …

Read More »

#CECAFAU17: Serengeti boys yachezea shilingi chooni.

Michuano ya Cecafa chini ya umbri wa miaka kumi  na saba (17) idjumapili hiyi imeingia katika siku yake ya pili huku Tanzania ikitoka sare ya bao moja kwa moja (1-1) dhidi ya Uganda mchezo uliopigwa  mkoani Muyinga katika uwanja wa Umuco. Vijana wa Serengeti boys ndio walio tangulia kuzifumania nyavu …

Read More »

#CECAFAU17:BURUNDI yaanza mashindano vibaya wakati wao niwenyeji

 Michuano ya kombe la Cecafa kwa timu za taifa kutoka ukanda wa afrika mashariki kwa wale vijana wasio zidisha umbri wa miaka kumi na saba (17 ) yameanza kutimua vumbi hiyi idjuma mosi kule mkoa Muyinga kwenye uwanja wa Umuco. Kwenye mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa mashindano hayo ya …

Read More »

CECAFA Under 17: Burundi Imepangwa Kwenye Kundi A

Michuano ya timu za taifa kutoka ukanda wa Afrika mashariki kwa wale wavijana wasio zidisha umbri wa miaka Kumi na saba (17), tayari makundi ma wili, yani kundi A na B ya Timu inne inne yamesha fahamika. Taïfa la Burundi ndilo litakalo pokea michuano hiyo hiyi April Tarehe 14, 2018 …

Read More »