Tag Archives: Cameroon

#VOA. | Macron aomba wanahistoria kuchunguza maovu yaliyotendwa enzi ya ukoloni nchini Cameroon

Macron aomba wanahistoria kuchunguza maovu yaliyotendwa enzi ya ukoloni nchini Cameroon

Macron, akizungumza katika mji mkuu wa Cameroon Yaounde, amesema anataka wanahistoria kutoka nchi hizo mbili kushirikiana kwa kuchunguza yaliyotokea miaka ya nyuma na kubaini “wahusika”. Viongozi wa kikoloni wa Ufaransa waliwakandamiza kikatili watetezi wa uhuru wa Cameroon waliokuwa na silaha kabla ya uhuru wa nchi hiyo mwaka wa 1960. Maelfu …

Read More »

#VOA. | Watu 11 wafariki katika ajali ya ndege nchini Cameroon

Watu 11 wafariki katika ajali ya ndege nchini Cameroon

Wafanyakazi wa usafiri wa anga walipoteza mawasiliano na ndege hiyo ambayo ilionekana baadaye ndani ya msitu karibu na kijiji cha Nanga Eboko, umbali wa kilomita 150 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Yaounde, wizara ya usafiri imesema katika taarifa. Afisa wa wizara hiyo ambaye hakutaka jina lake litajwe, amesema, ndege hiyo …

Read More »

#VOA. | Rais wa Cameroon, Paul Biya aadhimisha miaka 39 madarakani

Rais wa Cameroon, Paul Biya  aadhimisha miaka 39 madarakani

Wafuasi wa chama tawala cha Cameroon, Cameroon Peoples’ Democratic Movement, CPDM, wamekuwa wakisherehekea uongozi wa Rais Paul Biya na kusema anaweza bado kutawala taifa hilo la Afrika ya Kati kwa miaka mingine saba kuanzia mwaka 2025. Biya alitangazwa mshindi katika uchaguzi wa mwaka 2018 akiwa amepata zaidi asilimia 80 ya …

Read More »