Tag Archives: habari

#VOA. | Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Watu saba wafariki  kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Haiti siku ya Jumapili imesema takriban watu saba wamefariki dunia kwa ugonjwa kipindupindu katika kurudi kwa mshangao kwa ugonjwa huo ambao unakuja wakati taifa hilo limegubikwa na kizuizi cha magenge ambacho kimesababisha uhaba wa mafuta na maji safi ya kunywa. Ugonjwa huo uliua takriban watu 10,000 kupitia mlipuko wa mwaka …

Read More »

#VOA. | Uingereza yafafanua aina ya makombora yaliyotumiwa na Russia kuushambulia msafara wa kibinadamu

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy

Wizara ilisema katika ripoti ya upelelezi iliyobandikwa katika Twitter kwamba matumizi ya “silaha za hali ya juu” katika shambulizi la ardhini karibu na Zaporizhzhia “bila ya shaka limesukumwa na upungufu wa silaha za kawaida, hususan makombora yenye shabaha ya masafa marefu.” Ripoti hiyo ilisema shambulizi lililofanyika Ijumaa katika siku ambayo …

Read More »

#VOA. | Putin anatuma wanajeshi 300,000 Ukraine, Ulaya umesema vita vimefikia kiwango cha hatari kubwa

Putin anatuma wanajeshi 300,000 Ukraine, Ulaya umesema vita vimefikia kiwango cha hatari kubwa

Upigaji kura huo umetajwa kuwa uchaguzi wa ‘kihuni’ ambao matokeo yake ni lazima yaonyeshe kwamba wakaazi wa sehemu hizo wanataka kujiunga na Russia. Uongozi wa Kremlin, wa Vladmir Putin, unapanga kutumia matokeo ya kura hiyo ya kihuni, na inayoongozwa na wanajeshi wa Russia, kutangaza kwamba unapigana ili kulinda maslahi ya …

Read More »

#VOA. | Maelfu ya Wapalestina wafanya ibada kwa ajili ya waliopata ajali baharini

Maelfu ya Wapalestina wafanya ibada kwa ajili ya waliopata ajali baharini

Mazishi ya Jumamosi yalifanyika huku idadi ya vifo kutokana na ajali hiyo ya boti ya wahamiaji ikiongezeka na kufikia 89 na kuifanya kuwa mbaya zaidi kufikia sasa huku idadi kubwa ya watu wakikimbia Lebanon inayokumbwa na mzozo wa kiuchumi. Jeshi la Lebanon lilitangaza kuwa wanajeshi wamemkamata mtu mmoja anayedaiwa kuandaa …

Read More »

#VOA. | Tanzania, Burundi na Uganda zinautaka Umoja wa Mataifa kuunga mkono juhudi za kuleta amani DRC

Tanzania, Burundi na Uganda zinautaka Umoja wa Mataifa kuunga mkono juhudi za kuleta amani DRC

Haya ni kulingana na makamu wa rais wa nchi hiyo Dkt. Philip Mpango ambaye ameueleza Umoja wa Mataifa kwamba matatizo yanayoikumba dunia kwa sasa yanatokana na tamaa na ubinafsi. Dkt. Mpango amesema kwamba Tanzania imekuwa ikichangia katika juhudi za kuleta amani kupitia njia za kidiplomasia na kijeshi, katika nchi mbalimbali …

Read More »

#VOA. | Masomo ya mamilioni ya wanafunzi yaathiriwa na ugaidi Nigeria

Masomo ya mamilioni ya wanafunzi yaathiriwa na ugaidi Nigeria

Umoja wa Mataifa unasema kwamba Nigeria ina idadi kubwa zaidi ya watoto wasiohudhuria masomo, na kwamba idadi hiyo inaendelea kuongezeka. Kwenye mji mdogo wa Sabo kusini mwa jimbo la Kaduna kundi la wanafunzi limekusanyika pamoja kutokana na ghasia zinazoendelea. Wengi wa wanafunzi hao walifika kwenye kambi maalum za hifadhi wakiandamana …

Read More »

#VOA. | Waomba hifadhi wahamishwa kwenye kambi Uholanzi

Waomba hifadhi wahamishwa kwenye kambi Uholanzi

Maafisa wamewahamisha mamia ya watu wanaotafuta hifadhi kutoka kwenye kambi ya muda nje ya kituo cha kupokea wahamiaji chenye msongamano kaskazini mashariki mwa Uholanzi. Hatua hiyo imekuja baada ya ripoti moja mbaya kutaja eneo ambalo takriban watu 700 walikuwa wakilala vibaya wiki hii na ni hatari ya kiafya. Timu ya …

Read More »

#VOA. | Tedros alalamikia hali iliyoko Tigray

Tedros alalamikia hali iliyoko Tigray

Kwa mujibu wa shirika la habari la AP, Tedros wakati akizungumza kwa hisia nyingi kufuatia mapigano kuzuka tena kwenye eneo hilo Jumatano baada ya miezi kadhaa ya utulivu, amesema kwamba anasononeka kuona kwamba hana uwezo wa kuwasaidia watu wake ambao ni miongoni wa wakazi takriban milioni 6 waliokwama Tigray. Amaongeza …

Read More »

#VOA. | Mfanyakazi wa zamani wa Twitter adai kuwa kampuni hiyo inatishia faragha ya wateja wake

Mfanyakazi wa zamani wa Twitter adai kuwa kampuni hiyo inatishia faragha ya wateja wake

Madai hayo yalitolewa na Peiter “Mudge” Zatko, mdukuzi wa kompyuta ambaye alikuwa ameajiriwa na mkurugenzi mtendaji wa zamani wa Twitter Jack Dorsey. Kituo cha televisheni, CNN na gazeti la Washington Post zimeripoti kwanza maelezo ya malalamiko hayo Jumanne. Waraka wa malalamiko hayo uliorekebishwa wenye kurasa 84 uliwasilishwa kwa Bunge la …

Read More »

#VOA. | Wizara ya Mambo ya Nje Iran yakanusha kuhusika katika tukio la kumshambulia Salman Rushdie

Wizara ya Mambo ya Nje  Iran yakanusha kuhusika katika tukio la kumshambulia Salman Rushdie

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran siku ya Jumatatu ilikanusha kuhusika kwa namna yeyote katika tukio la kumdunga kisu mwandishi Salman Rushdie. Msemaji wa wizara aliwaambia waandishi wa habari kwamba Iran haioni kwamba hakuna mtu anayestahili kulaumiwa na kushutumiwa isipokuwa yeye na wafuasi wake. Wakala wa Rushdie alisema Jumapili …

Read More »

#VOA. | Serikali ya Ethiopia na waasi wa TPLF wafanya majadiliano ya kumaliza vita vya muda mrefu

Serikali ya Ethiopia na waasi wa TPLF wafanya majadiliano ya kumaliza vita vya muda mrefu

Serikali imekuwa katika mzozo mkubwa na waasi, lakini katika wiki za hivi karibuni pande zote mbili zimesisitiza uwezekano wa mazungumzo ya kumaliza vita vya miezi 21, huku Ethiopia ikishinikiza Umoja wa Afrika kuongoza mazungumzo yoyote. Waasi kwa upande wao wanamtaka Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ambaye amekuwa akihusika sana katika …

Read More »

#VOA. | Afrika Kusini: Wachimba madini haramu washambuliwa na wenyeji

Afrika Kusini: Wachimba madini haramu washambuliwa na wenyeji

Zaidi ya watu 300 walikusanyika katika mji wa madini wa Mohlakeng, ulioko umbali wa kilomita 40 kutoka Johannesburg, waandishi hao wa AFP wameripoti. 50 kati yao wakiwa na mapanga na nyundo, waliingia katika nyumba tatu, na kuchukua magodoro, zulia, viti na kabati za nguo ambazo walizichoma moto. Baadaye waliimba wimbo …

Read More »

#VOA. | Blinken awasili Afrika Kusini kituo cha kwanza cha ziara yake ya mataifa matatu ya Afrika

Blinken awasili Afrika Kusini kituo cha  kwanza cha ziara yake ya mataifa matatu ya Afrika

Mbali na Afrika Kusini, Blinken pia ataitembelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda. Blinken anatarajiwa kutoa hotuba muhimu nchini Afrika Kusini Jumatatu kuhusu mkakati wa Marekani kwa afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Mabadiliko ya hali ya hewa, biashara, afya na uhaba wa chakula vyote vitakuwa katika majadiliano. Akiwa …

Read More »

#VOA. | Mambo 15 muhimu unayostahili kufahamu kuhusu uchaguzi wa Kenya 2022

Mambo 15 muhimu unayostahili kufahamu kuhusu uchaguzi wa Kenya 2022

1 Agosti 9 2022 ndio tarehe ya upigaji kura. Kulingana na katiba ya Kenya, uchaguzi mkuu lazima uandaliwe Jumanne ya pili ya mwezi Agosti ya mwaka wa tano baada ya uchaguzi wa awali. Huu ndio uchaguzi wa tatu kuandaliwa baada ya kupitishwa kwa katiba ya mwaka 2010 2. Tume huru …

Read More »

#VOA. | Uchumi wa Marekani waporomoka kwa robo ya pili mfululizo

Uchumi wa Marekani waporomoka  kwa robo ya pili mfululizo

Pato la taifa kwa kiwango cha kila mwaka lilishuka chini ya sufuri kwa asilimia 0.9 katika robo ya pili, kufuatia kushuka kwa uchumi kwa kiwango kikubwa katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu, kulingana na wizara ya biashara ya Marekani. Ingawa sio ufafanuzi rasmi, ukuaji wa uchumi ukiwa chini …

Read More »