Tag Archives: kuhusu

#VOA. | Mambo 15 muhimu unayostahili kufahamu kuhusu uchaguzi wa Kenya 2022

Mambo 15 muhimu unayostahili kufahamu kuhusu uchaguzi wa Kenya 2022

1 Agosti 9 2022 ndio tarehe ya upigaji kura. Kulingana na katiba ya Kenya, uchaguzi mkuu lazima uandaliwe Jumanne ya pili ya mwezi Agosti ya mwaka wa tano baada ya uchaguzi wa awali. Huu ndio uchaguzi wa tatu kuandaliwa baada ya kupitishwa kwa katiba ya mwaka 2010 2. Tume huru …

Read More »

#VOA. | Ramaphosa ahutubia bunge la Afrika kusini kuhusu mafuriko

Ramaphosa ahutubia bunge la Afrika kusini kuhusu mafuriko

Ramaphosa amezungumzia hatua ambazo zimechukuliwa na serikali kusaidia watu kufuatia mafuriko hayo, pamoja na ufadhili zaidi baada ya kutangaza mafuriko hayo kuwa janga la kitaifa. Kuna sehemu nyingi zilizoathiriwa na maafuriko hayo, ambazo hazijapata msaada kutoka kwa serikali. Rais Ramaphosa amesema kwamba zaidi ya dola milioni 63 zimetengwa kwa ajili …

Read More »

#VOA. | IGAD imefanya mkutano wa dharura kuhusu hali iliyopo Sudan Kusini

IGAD imefanya mkutano wa dharura kuhusu hali iliyopo Sudan Kusini

Mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi wanachama wa mamlaka ya kieneo ya serikali na maendeleo (IGAD) wamefanya mkutano wa dharura hii leo, kufuatia mgawanyiko mkubwa uliotokea, ndani ya chama cha SPLA-IO cha Sudan Kusini, huku Washirika wa Riek Machar wakiendelea kulaani majenerali waliotangaza kuondolewa kwake madarakani. Mawaziri hao kutoka …

Read More »

#VOA. | Biden afanya kikao kuhusu tatizo la umiliki wa bunduki

Biden afanya kikao kuhusu tatizo la umiliki wa bunduki

Biden wakati akiandamana na mwanasheria mkuu Merrick Garland alifanya kikao hicho kutokana na kuwa suala hilo limekuwa tatizo hapa Marekani katika miaka ya karibuni. Takwimu zinaonyesha kuwa vifo kutokana na utumizi wa silaha vitaongezeka pakubwa mwaka huu, ikiwa idadi ya juu zaidi katika kipindi cha miongo miwili. Tayari mwaka huu, …

Read More »

#VOA. | Kutoonekana kwa Magufuli kwazua wasiwasi kuhusu afya yake

Tundu Lissu

Shirika la habari la Reuters limemkariri kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, ambaye anaishi uhamishoni nchini Ubelgiji akiitaka serikali ya Tanzania kutoa habari kuhusu afya ya Rais Magufuli kufuatia uvumi kuwa huenda anapatiwa matibabu nje ya nchi. Tundu Lissu Mitandao ya kijamii na upinzani nchini Tanzania …

Read More »