Tag Archives: kwa

#VOA. | Watu saba wafariki kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Watu saba wafariki  kwa ugonjwa kipindupindu Haiti

Haiti siku ya Jumapili imesema takriban watu saba wamefariki dunia kwa ugonjwa kipindupindu katika kurudi kwa mshangao kwa ugonjwa huo ambao unakuja wakati taifa hilo limegubikwa na kizuizi cha magenge ambacho kimesababisha uhaba wa mafuta na maji safi ya kunywa. Ugonjwa huo uliua takriban watu 10,000 kupitia mlipuko wa mwaka …

Read More »

#VOA. | Maelfu ya Wapalestina wafanya ibada kwa ajili ya waliopata ajali baharini

Maelfu ya Wapalestina wafanya ibada kwa ajili ya waliopata ajali baharini

Mazishi ya Jumamosi yalifanyika huku idadi ya vifo kutokana na ajali hiyo ya boti ya wahamiaji ikiongezeka na kufikia 89 na kuifanya kuwa mbaya zaidi kufikia sasa huku idadi kubwa ya watu wakikimbia Lebanon inayokumbwa na mzozo wa kiuchumi. Jeshi la Lebanon lilitangaza kuwa wanajeshi wamemkamata mtu mmoja anayedaiwa kuandaa …

Read More »

#VOA. | Uganda imeanza kuilipa DRC fidia kwa ajili ya uvamizi mashariki ya nchi hiyo miaka 20 iliyopita

Uganda imeanza kuilipa  DRC fidia kwa ajili ya uvamizi mashariki ya nchi hiyo miaka 20 iliyopita

Kulingana na maafisa wa serikali mjini KInshasa walozungumza Jumamosi, ni kwamba waziri wa sheria Rose Mutombo aliliarifu Baraza la Mawaziri siku ya Ijuma kua Uganda imeanza kulipa fidia na riba baada ya ICJ kuipata na hatia ya uvamizi wa mashariki ya Congo miaka 20 iliyopita. Bi Mutombo ameliambia baraza kwamba …

Read More »

#VOA. | Uchumi wa Marekani waporomoka kwa robo ya pili mfululizo

Uchumi wa Marekani waporomoka  kwa robo ya pili mfululizo

Pato la taifa kwa kiwango cha kila mwaka lilishuka chini ya sufuri kwa asilimia 0.9 katika robo ya pili, kufuatia kushuka kwa uchumi kwa kiwango kikubwa katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu, kulingana na wizara ya biashara ya Marekani. Ingawa sio ufafanuzi rasmi, ukuaji wa uchumi ukiwa chini …

Read More »

#VOA. | Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

Kagame, mwenye umri wa miaka 64, ametawala Rwanda kwa zaidi ya miongo miwili. Amesema kwamba anajiandaa kwa muhula mwingine madarakani. Katika mahojiano na shirika la Habari la Ufaransa France 24, Ijumaa (Julai 8, 2022), Kagame amesema kwamba “nafikiria kuendelea kuongoza kwa miaka mingine 20. Sina shida na hilo. Uchaguzi unahusu …

Read More »

#VOA. | Zelenskyy aishtumu Russia kuishika Afrika mateka kwa kuzuia ngano za Ukraine

Zelenskyy aishtumu Russia kuishika Afrika mateka kwa kuzuia ngano za Ukraine

Katika hotuba kwa njia ya video kwa viongozi wa Umoja wa Afrika Jumatatu, Zelenskyy amesema, ” Vita hivi vinaweza kuonekana kuwa mbali sana na kwenu na nchi zenu. Lakini kwa bahati mbaya, kupanda kwa bei ya chakula kumevifanya vita hivyo kuhisiwa na mamilioni ya familia za Afrika.” Amesema Ukraine inafanya …

Read More »

#VOA. | Russia yashutumiwa kwa wizi wa nafaka ya Ukraine

Russia yashutumiwa kwa wizi wa nafaka ya Ukraine

Balozi Vasyl Bodnar, amesema kwamba Russia inasafirisha nafaka iliyoibwa kutoka Ukraine, na kuongezea kwamba utawala wa Kyiv unashirikiana na polisi wa kimataifa –Interpol, kuwakamata wahusika. Ubalozi wa Ukraine mjini Ankara imetaja meli zinazosafirisha chakula cha wizi kutoka Ukraine. Meli hizo ni Nadezhda, Finikia, Sormivskiy, Vera, na Mikhail Nenashev. Ubalozu wa …

Read More »

#VOA. | Marekani yafunga njia zote zilizokuwa zinatumiwa na Russia kwa kulipa madeni yake

Marekani yafunga njia zote zilizokuwa zinatumiwa na Russia kwa kulipa madeni yake

Wizara ya fedha ya Marekani imesema katika taarifa kwamba haina mpango wa kutoa leseni mpya ili kuiruhusu Russia kuendelea kuwalipa wakopeshaji wake kupitia benki za Marekani. Tangu awamu ya kwanza ya vikwazo, wizara ya fedha ya Marekani ilizipa benki leseni ya kushughulikia malipo yoyote ya dhamana kutoka Russia. Muda wa …

Read More »

#VOA. | Kamala Harris na Blinken wamewasilisha rambirambi kwa familia ya marehemu Rais wa UAE

Kamala Harris na Blinken wamewasilisha rambirambi kwa familia ya marehemu Rais wa UAE

Makamu wa Rais wa Marekani kamala Harris na waziri wa mambo ya nje Marekani Antony Blinken siku ya Jumatatu waliwasilisha rambirambi kwa familia ya marehemu Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan aliyefariki Ijumaa. Harris na Blinken walikutana na Sheikh Mohammed bin Zayed …

Read More »

#VOA. | Kudhibitiwa kwa bandari za Ukraine kumesababisha bei za bidhaa kupanda duniani kote – FAO

Kudhibitiwa kwa bandari za Ukraine kumesababisha bei za bidhaa kupanda duniani kote - FAO

Maafisa wa FAO wanaona matumaini madogo ya kupungua kwa bei ya chakula mradi tu kama vita vya Russia na Ukraine vitaendelea. Nchi zote mbili kwa pamoja zinachangia karibu theluthi moja ya mauzo ya ngano nje ya nchi na aina nyingine za nafaka na hadi asilimia 80 ya usafirishaji wa mafuta …

Read More »

#VOA. | Shinikizo laongezeka kwa Rais Putin kutolewa katika mkutano wa G20

Shinikizo laongezeka kwa Rais Putin kutolewa katika mkutano wa G20

White House inaashiria kuwa uamuzi wa Indonesia – inayoshikilia mwaka huu nafasi ya urais wa nchi 20 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani, G20 – kuikaribisha Ukraine katika mkutano wa viongozi wa Novemba huko Bali haitoshi kuhakikisha uwepo wa Rais wa Marekani Joe Biden – mpaka pale Rais wa Russia Vladimir …

Read More »

#VOA. | Emmanuel Macron achaguliwa kwa muhula wa pili

Emmanuel Macron achaguliwa kwa muhula wa pili

Macron mwenye siasa za mrengo wa kati alipata asilimia 58 ya kura ikilinganishwa na Lepen aliyepata asilimia 42 kulingana na makadirio ya taasisi za ukusanyi wa kura ya maoni za vituo vya televisheni vya Ufaransa. Macron ni rais wa kwanza wa Ufaransa kushinda muhula wa pili kwa miongo miwili, lakini …

Read More »

#VOA. | Will Smith apigwa marufuku kushiriki Oscars kwa miaka 10

Will Smith, kulia, ampiga kibao cha usoni Chris Rock akiwa jukwaani katika sherehe za kukabidhi tuzo za Oscars, March 27, 2022, Los Angeles.(AP Photo/Chris Pizzello)

Will Smith amepigwa marufuku kushiriki katika Oscars and matukio mengine ya Academy kwa miaka 10 baada ya kumchapa kibao muigizaji na mchekeshaji Chris Rock wakati wa hafla ya Oscars. Academy of Motion Picture Arts and Science ambayo huandaa sherehe za kutoa tuzo, ilikuwa kwa njia ya mtanda Ijumaa kujadili hatua …

Read More »

#VOA. | Ukraine yaitaka Moscow kuchukulia mazungumzo ya amani kwa dhati

Ukraine yaitaka Moscow kuchukulia mazungumzo ya amani kwa dhati

Washington —  Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine kwa mara nyingine tena Jumamosi, ametoa wito kwa Moscow, “kuchukulia kwa dhati mazungumzo ya amani”, akisema “hiyo ndio nafasi pekee kwa Rashia kupunguza hasara kubwa iliofanya kutokana na makosa yake mwenyewe.” Pande zote mbili kwa hivi sasa zinaendelea na mazungumzo kupitia mtandao, lakini …

Read More »

#VOA. | Mudavadi aikosoa serikali ya Kenya kwa kukopa bila mkakati wa kulipa

Mudavadi aikosoa serikali ya Kenya kwa kukopa bila mkakati wa kulipa

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kenya Musalia Mudavadi ameikosoa serikali ya Kenya akisema imejiingiza katika hali mbaya ya kiuchumi kwa kuendelea kukopa bila mkakati mahsusi wa kulipa, Endelea kusikiliza mahojiano yaliofanywa na mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika… Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA …

Read More »