Tag Archives: Marekani

#VOA. | Liz Truss anachukua nafasi ya Boris Johnson leo Jumanne

Liz Truss anachukua nafasi ya Boris Johnson leo Jumanne

Liz Truss atachukua nafasi ya Boris Johnson kama Waziri Mkuu wa Uingereza siku ya Jumanne akisafiri kumwona Malkia Elizabeth huko Scotland kabla ya kuteua mawaziri wa vyeo vya juu katika baraza lake la mawaziri ili kushughulikia mzozo wa kiuchumi na kuunganisha chama chake kilichogawanyika. Truss alimshinda mpinzani wake Rishi Sunak …

Read More »

#VOA. | Idadi ya vifo kutokana na mafuriko nchini Pakistan inaongezeka

Idadi ya vifo kutokana na mafuriko nchini Pakistan inaongezeka

Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko makubwa nchini Pakistan iliendelea kuongezeka siku ya Jumamosi kukiwa na vifo 57 zaidi ambapo watu 25 kati yao ni watoto huku nchi hiyo ikikabiliana na operesheni za misaada pamoja na uokoaji kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Chombo cha ngazi ya juu kilichoundwa kuratibu …

Read More »

#VOA. | Wizara ya Mambo ya Nje Iran yakanusha kuhusika katika tukio la kumshambulia Salman Rushdie

Wizara ya Mambo ya Nje  Iran yakanusha kuhusika katika tukio la kumshambulia Salman Rushdie

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran siku ya Jumatatu ilikanusha kuhusika kwa namna yeyote katika tukio la kumdunga kisu mwandishi Salman Rushdie. Msemaji wa wizara aliwaambia waandishi wa habari kwamba Iran haioni kwamba hakuna mtu anayestahili kulaumiwa na kushutumiwa isipokuwa yeye na wafuasi wake. Wakala wa Rushdie alisema Jumapili …

Read More »

#VOA. | Blinken awasili Afrika Kusini kituo cha kwanza cha ziara yake ya mataifa matatu ya Afrika

Blinken awasili Afrika Kusini kituo cha  kwanza cha ziara yake ya mataifa matatu ya Afrika

Mbali na Afrika Kusini, Blinken pia ataitembelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda. Blinken anatarajiwa kutoa hotuba muhimu nchini Afrika Kusini Jumatatu kuhusu mkakati wa Marekani kwa afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Mabadiliko ya hali ya hewa, biashara, afya na uhaba wa chakula vyote vitakuwa katika majadiliano. Akiwa …

Read More »

#VOA. | Uchumi wa Marekani waporomoka kwa robo ya pili mfululizo

Uchumi wa Marekani waporomoka  kwa robo ya pili mfululizo

Pato la taifa kwa kiwango cha kila mwaka lilishuka chini ya sufuri kwa asilimia 0.9 katika robo ya pili, kufuatia kushuka kwa uchumi kwa kiwango kikubwa katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu, kulingana na wizara ya biashara ya Marekani. Ingawa sio ufafanuzi rasmi, ukuaji wa uchumi ukiwa chini …

Read More »

#VOA. | Wachunguzi wa UN wametoa ripoti inayoshutumu ukiukaji wa haki za binadamu Libya

Wachunguzi wa UN wametoa ripoti inayoshutumu ukiukaji wa haki za binadamu Libya

Ripoti mbaya iliyotolewa na wachunguzi wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Libya inaishutumu serikali na makundi ya upinzani kwa kutenda ukiukaji mkubwa bila ya khofu ya kuadhibiwa ambapo huenda uhalifu mwingi dhidi ya ubinadamu. Ripoti hiyo itawasilishwa kwa baraza la haki za binadamu la umoja …

Read More »

#VOA. | Mazungumzo mapya kuanza tena Qatar,kati ya Marekani na Afghanistan

Mazungumzo mapya kuanza tena Qatar,kati ya Marekani na Afghanistan

Mwakilishi maalum wa Marekani kwa ajili ya Afghanistan Thomas West anaongoza ujumbe wa Marekani kwenye kikao cha kwanza kwa njia ya moja moja cha mazungumzo na maafisa wa ngazi ya juu wa Afghanistan, baada ya zaidi ya miezi mitatu, mjini Doha, Qatar. Marekani ilisitisha mwezi Machi kwa ghafla mazungumzo yaliokuwa …

Read More »

#VOA. | Mafanikio ya kulinda mazingira kutokana na kazi za kibinadamu yamepatikana; inasema CBD

Mafanikio ya kulinda mazingira kutokana na kazi za kibinadamu yamepatikana; inasema CBD

Wajumbe kutoka takribani mataifa 200 wamepiga hatua kidogo kuelekea kuandaa rasimu ya mkataba wa kimataifa wa kulinda mazingira kutokana na kazi za kibinadamu baada ya karibu wiki nzima ya mazungumzo magumu mjini Nairobi. Mikutano hiyo iliyohitimishwa Jumapili ililenga kuondoa tofauti miongoni mwa wanachama 196 wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa …

Read More »

#VOA. | Mahakama ya juu ya Marekani yabatilisha sheria za New York zinazopiga marufuku kubeba bunduki hadharani

Mahakama ya juu ya Marekani yabatilisha sheria za New York zinazopiga marufuku kubeba bunduki hadharani

Meya Eric Adams, mdemocrat na mkuu wa zamani wa polisi, ametabiri kwamba malumbano zaidi yatageuka ghasia mara tu itakapokuwa rahisi kubeba bunduki ndani ya mji wa New York wenye zaidi ya wakazi milioni 8, ukiwa mji wenye watu wengi zaidi hapa Marekani. “Uamuzi huu umefanya kila mmoja wetu asiwe salama …

Read More »

#VOA. | Mswaada wa Bunduki: Maseneta Warepublikan na Wademokrat waelekea kukubaliana

Mswaada wa Bunduki: Maseneta Warepublikan na Wademokrat waelekea kukubaliana

Amesema pia kuna uwezekano wa kupiga kura wiki hii juu ya mpango huo ambao ni majibu ya bunge kuhusu ufyatuaji risasi uliofanyika texas na New York uliolitikisa taifa. Siku tisa baada ya wapatanishi wa Seneti kukubaliana na pendekezo la mfumo na miaka 29 baada ya bunge kupitisha mara ya mwisho …

Read More »

#VOA. | Benki kuu Marekani imetangaza kuongeza kiwango cha riba kukabiliana na mfumuko wa bei

Benki kuu Marekani imetangaza kuongeza kiwango cha riba kukabiliana na mfumuko wa bei

Benki kuu ya Marekani ilitangaza Jumatano kuwa itapandisha viwango vya riba kwa kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha takriban miaka 30 ikiwa ni juhudi za kukabiliana na mfumuko wa bei bila ya kuufanya uchumi kudorora. Benki kuu ilisema itaongeza kiwango chake muhimu cha riba kwa robo tatu ya …

Read More »

#VOA. | Vikosi vya Russia vimeshambulia kiwanda cha kemikali kilichopo Ukraine

Vikosi vya Russia vimeshambulia kiwanda cha kemikali kilichopo Ukraine

Vikosi vya Russia vilishambulia kwa mabomu kiwanda cha kemikali kinachohifadhi mamia ya wanajeshi na raia katika mji wa Sievierodonetsk huko mashariki mwa Ukraine siku ya Jumapili lakini gavana wa mkoa wa Luhansk alisema kiwanda hicho kiko chini ya udhibiti wa Ukraine. Gavana Serhii Haidai alisema huo ni uongo unaotolewa na …

Read More »

#VOA. | Maandamano ya ‘March for Our Lives’ yarejea na shinikizo la udhibiti wa bunduki

Maandamano ya 'March for Our Lives' yarejea na shinikizo la udhibiti wa bunduki

Mikusanyiko hii itakuwa katika mji mkuu wa taifa hili na sehemu nyingine nchini Marekani ikishinikiza kuwa Bunge la Marekani lipitishe mabadiliko muhimu ya sheria za umiliki wa bunduki. Mkusanyiko wa pili wa “March for Our Live” (tuandamane kwa ajili ya uhai wetu) utafanyika Jumamosi mbele ya eneo la Washington Monument, …

Read More »

#VOA. | Uhusiano kati ya Marekani na Saudi Arabia unaimarika

Uhusiano kati ya Marekani na Saudi Arabia unaimarika

Kulingana na maafisa wa serikali, ujumbe wa kwanza wa Saudi Arabia utaitembelea Washington tarehe 15 Juni na utaongozwa na waziri wa biashara Majid bin Abdullah al-Qasabi. Ujumbe wa pili utaongozwa na waziri wa uwekezaji Khaled Al-Falih umepangwa kuwasili mwishoni mwa mwezi huu na utawajumuisha maafisa wa serikali na wafanyabiashara. Kulingana …

Read More »

#VOA. | Rais Biden anasisitiza bunge kupitisha sheria mpya ya udhibiti wa bunduki Marekani

Rais Biden anasisitiza bunge kupitisha sheria mpya ya udhibiti wa bunduki Marekani

Rais wa Marekani Joe Biden alisema Jumatatu kwamba ufyatuaji risasi wa umma nchini Marekani umekuwa mbaya sana kwamba hata wale wanaopinga masharti kwa mauzo ya bunduki wamekuwa na busara zaidi katika kujaribu kuzuia ghasia. Siku moja baada ya ziara yake yenye hisia katika shule ya msingi ya Robb kwenye jimbo …

Read More »