Tag Archives: muhimu

#VOA. | Mambo 15 muhimu unayostahili kufahamu kuhusu uchaguzi wa Kenya 2022

Mambo 15 muhimu unayostahili kufahamu kuhusu uchaguzi wa Kenya 2022

1 Agosti 9 2022 ndio tarehe ya upigaji kura. Kulingana na katiba ya Kenya, uchaguzi mkuu lazima uandaliwe Jumanne ya pili ya mwezi Agosti ya mwaka wa tano baada ya uchaguzi wa awali. Huu ndio uchaguzi wa tatu kuandaliwa baada ya kupitishwa kwa katiba ya mwaka 2010 2. Tume huru …

Read More »

#VOA. | Serikali ya Rwanda yalazimisha wanainchi kupata chanjo ya Covid 19, ili wapewe huduma muhimu za umma.

Serikali ya Rwanda yalazimisha wanainchi kupata chanjo ya Covid 19, ili wapewe huduma muhimu za umma.

Maagizo hayo yanaeleza kuwa ili kuingia ndani ya basi, kwenye migahawa na baa, kanisani na msikitini, lazima uwe umepata chanjo kamili ya Covid 19. Serikali inasema imechukua hatua hizo ili kuzuia ongezeko la maambukizi ya corona ambalo limeshuhudiwa hivi karibuni, likichochewa na aina mpya ya kirusi cha Omicron ambacho kinaambukiza …

Read More »