Tag Archives: uchaguzi

#VOA. | Mambo 15 muhimu unayostahili kufahamu kuhusu uchaguzi wa Kenya 2022

Mambo 15 muhimu unayostahili kufahamu kuhusu uchaguzi wa Kenya 2022

1 Agosti 9 2022 ndio tarehe ya upigaji kura. Kulingana na katiba ya Kenya, uchaguzi mkuu lazima uandaliwe Jumanne ya pili ya mwezi Agosti ya mwaka wa tano baada ya uchaguzi wa awali. Huu ndio uchaguzi wa tatu kuandaliwa baada ya kupitishwa kwa katiba ya mwaka 2010 2. Tume huru …

Read More »

#VOA. | Bunge la Somalia lakutana kumchagua rais mpya, milipuko yasikika Mogadishu

Bunge la Somalia lakutana kumchagua rais mpya, milipuko yasikika Mogadishu

Uchaguzi huo ni sharti kwa nchi ya Somalia kuhakikisha misaada ya kigeni inaendelea kutolewa katika taifa hilo maskini ambalo limekumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa takriban miongo mitatu. Nusu dazeni ya wakazi na mwandishi wa habari wa Reuters walisikia milio iliyokuwa kama ya mizinga. Wasomali wamezoea mara kwa …

Read More »

#VOA. | Wafilipino wapinga matokeo ya uchaguzi wa rais

Wafilipino wapinga matokeo ya uchaguzi wa rais

Washington —  Marcos Junior anaefahamika zaidi kwa jina la Bongbong, amepata asili mia 56 za kura, huku mpinzani wake mkuu, makamu rais Leni Roberdo akitoa wito wa umoja na utulivu kwa wafusai wake. Mgombea huyo alipata kura milioni 30.8 sawa na asili mia 56, ikiwa ni mara mbili zaidi ya …

Read More »

#VOA. | Rais Barrow aongoza kwenye matokeo ya uchaguzi Gambia

Rais Barrow aongoza kwenye matokeo ya uchaguzi Gambia

Barrow mwenye umri wa miaka 56, amepata ushindi wa majimbo ya uchaguzi 40 kati ya 51 yaliyotangazwa Jumapili mchana. Kiongozi huyo alikabiliwa na upinzani kutoka wagombea watano akiwemo makam rais wake wa zamani Ousainou Drobe. Maafisa wa uchaguzi wanasema zowezi la kuhesabu kura limecheleweshwa kutokana na matatizo kaddha, ikiwa ni …

Read More »

#VOA. | Serikali ya mpito Libya yaahidi kuitisha uchaguzi Decemba

Serikali ya mpito Libya yaahidi kuitisha uchaguzi Decemba

Kwa mujibu wa shirika la habari la Associated Press, Ujerumani pamoja na Umoja wa Mataifa waliyaleta pamoja mataifa 17 kwenye mkutano huo wakati serikali na maafisa wa serikali ya mpito ya Libya wakiandamana na mawaziri wa kigeni wa Misri,Uturuki,Tunisia, Algeria, Ufaransa na Italy. Miongoni mwa maafisa wengine wa ngazi za …

Read More »

#VOA. | Ebrahim Raisi ashinda nafasi ya urais Iran

Rais anayemaliza muda wake Hassan Rouhani

Maafisa wa uchaguzi wa Iran wanasema, Raisi alipata asilimia 62 za kura baada ya asilimia 90 za kura kuhesabiwa, na kwamba idadi ya waliojitokeza kupiga kura ilikuwa ndogo. Shirika la habari la Fars News liliripoti mapema kwamba ni asilimia 37 tu ya wapigaji kura milioni 59 wa taifa hilo walioshiriki …

Read More »

#VOA. | Waziri mkuu wa Somalia aahidi uchaguzi wa huru na haki

Waziri mkuu wa Somalia aahidi uchaguzi wa huru na haki

Waziri Mkuu wa Somalia Mohamed Hussein Roble alisema alikuwa na nia ya dhati kwa upigaji kura huru na wa haki baada ya kutia saini makubaliano Alhamisi na viongozi kutoka mikoa ya nchi hiyo kufanya uchaguzi usio wa moja kwa moja baada ya uchelewesho kusababisha mzozo. Chini ya mfumo wa uchaguzi …

Read More »