Tag Archives: uchumi

#VOA. | Uchumi wa Marekani waporomoka kwa robo ya pili mfululizo

Uchumi wa Marekani waporomoka  kwa robo ya pili mfululizo

Pato la taifa kwa kiwango cha kila mwaka lilishuka chini ya sufuri kwa asilimia 0.9 katika robo ya pili, kufuatia kushuka kwa uchumi kwa kiwango kikubwa katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu, kulingana na wizara ya biashara ya Marekani. Ingawa sio ufafanuzi rasmi, ukuaji wa uchumi ukiwa chini …

Read More »

#VOA. | Wakenya wazuia magari kuonyesha kero la ongezeko la bei ya mafuta

Wakenya wazuia magari kuonyesha kero la ongezeko la bei ya mafuta

Bei za mafuta hivi sasa ziko juu baada ya mamlaka ya kudhibiti nishati nchini wiki hii kusitisha ruzuku kwa ajili ya petroli, dieseli na mafuta ya taa iliyokuwa imeanzishwa mapema mwaka huu ili kuwafariji watu waliokasirishwa na kupanda kwa gharama za maisha. Makamu wa Rais William Ruto, ambaye yuko katika …

Read More »

#VOA. | Kibali maalum kutolewa kwa wasafiri wanaozuru nchi za EU

Kibali maalum kutolewa kwa wasafiri wanaozuru nchi za EU

Kibali hicho pia kitamuruhusu msafiri kuingia katika nchi hizo bila ya kufanyiwa vipimo zaidi vya virusi vya corona, na kufungua njia ya cheti hicho cha usafiri kutumika kabla kuanza kipindi cha majira ya joto, vyanzo vya habari mbalimbali vimeripoti. Cheti hicho kilicho subiriwa kwa hamu kubwa kikiwa na lengo la …

Read More »