Tag Archives: ukoloni

#VOA. | Macron aomba wanahistoria kuchunguza maovu yaliyotendwa enzi ya ukoloni nchini Cameroon

Macron aomba wanahistoria kuchunguza maovu yaliyotendwa enzi ya ukoloni nchini Cameroon

Macron, akizungumza katika mji mkuu wa Cameroon Yaounde, amesema anataka wanahistoria kutoka nchi hizo mbili kushirikiana kwa kuchunguza yaliyotokea miaka ya nyuma na kubaini “wahusika”. Viongozi wa kikoloni wa Ufaransa waliwakandamiza kikatili watetezi wa uhuru wa Cameroon waliokuwa na silaha kabla ya uhuru wa nchi hiyo mwaka wa 1960. Maelfu …

Read More »

#VOA. | Marekani yaadhimisha miaka 245 ya uhuru wake

Marekani yaadhimisha miaka 245 ya uhuru wake

Julai 4, inasherehekea siku ambayo mwaka 1776 wawakilishi kutoka makoloni 13 ambayo yaliungana pamoja na kuwa Marekani na walipitisha azimio la kihistoria la Uhuru kutoka kwa utawala wa Uingereza. Siku hii ya Julai 4 imefanywa ni likizo ya kitaifa tangu mwaka wa 1941. Kawaida ni siku kwa familia na marafiki …

Read More »